Recent content by Nozzle_N7

  1. N

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Tundu Lissu akitumia njia ya kisiasa anaweza kusamehewa

    KAMA MASWALA.YA SIASA YANA TATULIWA KWA SIASA, NI NANI KAIPELEKA KESI MAHAKAMANI 🤔 MPAKA HAPO WALIPO FIKIA, SIDHANI KAMA KUNA HURUMA YA MTU YOYOTE AMBAYO CHADEMA WANAITEGEMEA WALA KUITARAJIA
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kumlipia mtoto private schools vs kumjengea mtoto assets na kumsomesha goverment schools?

    Mchango iliyopo shule za serikali ni bora kulipa private hata ya milioni 2, kwa private atasoma na watamfuatilia ila sio kwa michango ya serikali na hamna service yoyote ya maana zaidi kunywa uji
  3. N

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Rufaa ya Lissu: Nyaraka Zimekamilika na Kufailiwa, Dhamana Yake Inanukia

    KWA MARA YA KWANZA NIMESHUHUDIA MTU KASHTAKIWA KWA KESI YA MAUAJI ALAFU HUKUMU NI YA KESI YA UZURULAJI, KUA MSHTAKIWA ANADHANIWA KUA, WAKATI ANAENDA KUUA ( HUKU SHTAKA HILO LIKIWA HALIPO NA HAKULITEKELEZA KWAKUA ILIDHANIWA NA SI UHALISIA ) KUA ALIZURULA, YAANI NI KAMA MTU ALIOTA NDOTO, YALIYO...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya Shujaa Lissu kuachiwa huru na Mahakama unadhani ni BaraBara ipi itumike kumsindikiza hadi Makao Makuu ya CHADEMA?

    Mbali na kua jamaa hana kesi, sidhani kama wata muachia! Unadhani serikali itakua tayari kutekeleza madai ya fidia na kuaibika mbele ya wananchi wake na dunia
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Waunganishieni umeme wananchi kwa Shilingi 27, 000

    Anaanza kutafuta huruma kwa wananchi, anatafuta pakutokea 🤭🤣 tuta muhurumia akisema Dr.E yupo wapi kabla na yeye hajaelekea huko huko
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema na mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva havitangamani, hivyo ikitokea wakaingia madarakani, watafutilia mbli soka na bongo fleva

    Tatizo halipo chadema, wanamziki hua wanaenda na upepo, pia wanaogopa serikali
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wiçknell Chivayo na Kasongo money deals

    Naamini hivyo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wiçknell Chivayo na Kasongo money deals

    Anasema ni mjasiriamali 🤭🤣
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wiçknell Chivayo na Kasongo money deals

    Wenyewe wanasema " gudubai " 🤭🤣🤣🤣 jamaa amebadili jina sijui kaenda ishi wapi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wiçknell Chivayo na Kasongo money deals

    Hata huku kuna jitu limesha lizwa, tutajua baadae 🤭🤣🤣
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Ndio hawa wanao shauri serikali na kusimamia mikataba!? Au kuna wengine!?? Maana dah!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kufanya tendo. Naombeni msaada wanaume wenzangu

    Doh! Pole sana
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kufanya tendo. Naombeni msaada wanaume wenzangu

    Acha umalaya, wa kula kila mara, anaza kula kwa week 2 mara moja
Back
Top Bottom