Nilitarajia mpaka kufikia sasa kungeshakuwa na kesi imeshafunguliwa dhidi ya chacha na CCM kwa kuhodhi majeshi kinyume cha katiba. Kauli za kwenye mitandano hazina tija !
Na huyu tulie nae vipi? Maana naona kama kaiweka nchi kwenye auto-pilot na in a way anafanya makosa yaleyale ya Magufuli kuamini machawa na inner circle ambayo haina strong foundation
Kwani CCM ina nini cha ku-offer kwa wananchi zaidi ya kupata back up ya mapolisi, mahakama, bunge mfuu na wasiojulikana. Ukiona chama kinamtegemea Mwaipopo akisemee ujue kiko ICU
Kuna tofauti ya kupishana kimtizamo na kuwa msaliti to extent ya kuhatarisha maisha ya wengine. Ni busara ukiona chama hakiendani na vision yako ukaondoka, ukaanzishe chama chako kitakachobeba vision zako. Ie. Ditto Kabwe from Chadema to ACT- Wazalendo.
Hongera sana professor kwa kuamua kusema ukweli na kuvaa ujasiri ambao kuna idadi kubwa ya mibaba ndani ya CCM imefyata mikia kwa woga mpaka mikia inakaribia kugusa videvu!!!
Unamaana gani kusema kustaafu? Maana kama kustaafu Alisha staafu siku nyingi, anachokifanya ni haki yake ya kiraia katika kutoa mawazo yake. Unataka awe bubu kama viongozi wengine wastaafu anaoendelea kula kodi za wananchi wakati wananchi wanachinjwa kama kuku?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.