Recent content by Novida

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya bomoabomoa kutolewa saa nane

    Asate kwa taarifa
  2. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Yaani wao jf wameshindwa kufika eneo la tukio lkn taarifa ya wako salama imeonekana kwenye taarifa ya habari ya itv.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungemfanya nini mlevi huyu?

    Ningefurahi kwakua amenipunguzia kazi maana nibora kumsukuma mtu alie kwenye bembea kuliko alie kwenye gali. kazi rahis kuliko nilivyo fikiria.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Lusekelo anawaponda Mitume na Manabii feki Channel 10

    Tena huyo Geodarvie, nahis anawatoa akili waumini wake. Maana ukiwa timam sidhani Kama unaweza kumuamini na kumuelewa, eti anawaambia waumini wake waandike shida na maombi yao kwenye karatasi kisha wakusanye kwake, na watajibiwa PAMBAF,
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugora: Nikikemea ufisadi wana CCM wananishambulia eti mpinzani!

    Namkubali sana k.lugola. nashauri asiogope, aendelee kusimamia ukweli. Kama wakimtosa kwenye kura ya maoni ccm atapita kupitia ukawa. Naamini anamengi moyoni mwake lakini anahofu kuyatoa kwasababu tu! ni chama chake.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Lazima mjue kutofautisha

    Kati ya COKA na PEPS
  7. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Sombetini Arusha washiriki mazishi ya Edward Mgogo

    R.I.P Bab bab, hongera watu wa mungu, hongera chadema.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wenje na Heche washikiliwa na polisi

    amemshindwa lema hadi kahamishwa, ameanza na wengine. hivi anafikiri anaongeza kiki kumbe anawapaisha anaowatesa.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuna Phd ya kutunza VIPORO Tanzania?

    Haa!!! mrisho alipo jiwekeza muhogo wake.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Segerea wanamtaka Scholastika Kevela, Makongoro Mahanga kachokwa

    Fred Mpendazoe!!!?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    mpira ukipita katikati ya miguu ya golikipa na kuingia golini, yanahesabiwa magoli mawili.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mmakonde anapotoa salamu za Mwenge

    Kwi! kwi! kwi! kw!!!
  13. N

    JamiiForums Tanzania World's Shortest girl turns 24

    hivi huyo anakua na akili timamu?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Imebidi niache bia yangu mezani nisepe

    Vibaa medi hivyo.
Back
Top Bottom