Haijaishinda Chadema, imewashinda watanzania ccm ni ile ile, kikwete ni yuleyule, magufuli ni yuleyule, umaskini ni ulele, ujinga ni uleule, watanzania ni walewale, mgao wa umeme ni uleule.
Kawimbo kazuri sana haka na kamedhihirika baada ya mtu kutangazwa uraisi mgao umeanza ujaacha hata...