Ndugu zangu bado tupo kikaoni,nitawajulisha soon kilichojiri.Ila bado kuna shamra shamra hapa za kutosha Vijana wamependeza na sare zao za kijani na njano.Media zipo za kutosha
Bado vikao vya hapa na pale vya kufanya logistics vinaendelea.Na muda muafaka ukifika ntawajuza rasmi.Baadhi ya makada wetu nimeongea nao hapa wanaonyesha furaha sana.Pongezi kubwa kwa kamati ya maandalizi
Mkutano mkubwa wa na wa kihistoria wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani wa CHAMA CHA MAPINDUZI kata ya Sombetini utafanyika leo soko la Mbauda.
Kipenzi cha watu, homa ya CHADEMA Mwigulu Lameck Nchemba Naibu Waziri wa fedha atafungua kampeni hizi pamoja na viongozi wengine wa mkoa.
Mama yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.