Recent content by NOSVELA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa ajili ya kuendesha mradi wa ujenzi

    Umeomba hiyo kazi kupitia kampuni au umeomba tu kama fundi?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mahindi lishe (mahindi ya njano)

    1200 @ kg mkuu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mahindi lishe (mahindi ya njano)

    Wakuu natafuta soko la mahindi lishe yale mahindi ya njano(mahindi ya yanga) yapo tani moja nipo Dodoma, cont. Zangu ni 0621048817
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

    Nakuunga mkono mkuu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

    Fanya biashara ya nafaka anza kidogo kidogo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa Nzuguni opposite na stend kuu ya Dodoma kwa mwenye kuhitaji
  7. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

    Karibuni wanandugu Viwanja bado vinapatikana
  8. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa Nzuguni Dododoma sqm 296 bei 2,500,000 kimepimwa na kina hati
  9. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

    Viwanja vipo mpaka vinavyotizamana na stend mpya ya mkoa ya Dodoma iliyopo Nzuguni
  10. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa Nzuguni sqm 360 bei ml 3,500,000|= kimepimwa na kuna umeme na Maji kipo kwenye makazi ya watu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

    Kiwanja Nzuguni sqm 600 Tsh ml 6, sqm 321 Tshs ml 5 na Sqm 300 (15mt x20mt) Tsh ml 4. Vyote vipo kwenye makazi ya watu umeme na Maji vipo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

    Povu la nn tena mkuu? Unapofanya jambo lazima upate changamoto ndyo zitakukomaza zaidi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

    Ni size mbali mbali google tu boss utaona ukiandika Viwanja Nala Dodoma
  14. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

    Ngoja watakuja wadau wa huko mkuu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

    Nala kuna kampuni IPO humu jamii forum wanauza Viwanja kule watafute mkuu kazi rahisi hiyo kama upo Sirius
Back
Top Bottom