Inavyoonekana nikweli watu wanachuki tu na hawa ZE COMEDY,sio siri wale jamaa wa FUTUHI hawana vipaji vya uchekeshaji ni kama wamevamia sehemu isiyo wahusu naona jamaa wanalazimisha kwelikweli lkn viwango vyao ni vya chini sana,kule ZE COMEDY wale jamaa wote wana vipaji tena hata ukiwa...
da unajua nini;kila mtu ana mapenzi yake miongoni mwa hawa real hiphop superstars lakini kwa huyu jamaa(JIGGA) ni mwisho wa shughuri miongoni mwa wale ambao bado wapo ALIVE,the guy is distinguished hiphop superstar...i real admire the guy!! he don need much tym to create mistari is the matter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.