Siku hizi shule ya msingi nako kuna wakuu wa shule? Me nilidhani huwa kuna walimu wakuu kiongozi? Pole sana kwa kunyang'anywa tonge na mratibu elimu wako
Wewe kijana fuata baraka kwa baba yako utafanikiwa. Sisi sote tumezaliwa na hawa mama zetu tunajua mazuri yao lakini pia tunajua mapungufu yao. Wana sumu kali ya kuharibu watoto, ukiwa mtoto wa kiume utakuja kugundua pale utakapo oa, utafanyiwa vituko na mke wako ndo akili zitakurudi kwamba...
Mzee wako yawezekana alikuwa anahitaji kuwahudumia ila mama yako alikuwa anamuwekea kizingiti yawezekana cha kumuua au kumumwagia maji ya moto. Kadharika mzee wako yawezekana alikuwa anawahudumia ila mama yako anawadanganya kuwa baba yenu hawahudumii kwa chochote. Hayo yapo mengi tu mtaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.