CHADEMA acha siasa za kujifariji kalenga amna chenu WAZALENDO wa nchi wanakuja kuwasha moto kumwaga sera jinsi ya kutekeleza ilani MWIGULU NAPE WANAKUJA KALENGA.
Eti lema ndo nani?vijana tunataka maendeleo sio siasa za maji taka kusafisha jiji eti mnalipizia kisasi acha umbulazZZ nenda shule si kuongea tu machinga complex iko wapi.
Hoja yangu nieleweke kuwa wanasiasa umefika wakati tuanze kunadi sera za chana Ilani za vyama pengine hata falsafa ili wapiga kura wachambue sio uchochezi,kashfa,na vitendo vinavyoashilia uvunjifu wa Amani kushinda kufanya hivyo tutaishiwa kusema kura zimeibiwa jifunze CDM.
Chadema chama cha kibepari walichonacho akina mbowe wanazidi kujenga dubai ruzuku misaada wanatafuna hata gazeti la chama anamiliki mbowe eti lake tahasisi gani wanashindwa kujenga ofsi wanazidiwa na PRIDE pesa yote mfukoni na kukopeshana.
mwasisi wa chadema mtei wakati mwalimu nyerere anatetea maskini na siasa za ujamaa MTEI alitetea ubepari mpaka mwalimu kamfukuza serikalini iweje leo waseme chadema ni ya wananchi?
HATI naamin kuwa ccm ndo chama cha watu makini wenye uwezo wa kuongoza nchi sio siasa za wenzetu kuchumia tumbo na kujifanya safi wakati wanaficha pesa na nyumba dubai.
Ufike wakati kuwa na wapinzani wenye uwezo hata kuandaa hotuba mbadala ya upinzani ya kuelekeza chama tawala kwa manufaa ya nchi sio kawa upinzani wa sasa usio great thinkers.
Mfano bajeti ya fedha ya upinzani CHADEMA iliyokataliwa na mchumi Mwigulu kwa kutokuwa makini na ya hovyo.
CCM makini sana na vijana makini sana akina mh.MWIGURU pole kaka na zihara kubwa ya kujenga chama make wengine wanawatuma wazee babu slaa au shemeji yangu vijana taifa la Leo bwana viongozi wa chadema elimu wola ndo maana mtu kama zito aburuzwi na wenye ELIMU ndogo
kina sugu na Lema MWIGURU...
Kaka ongera sana kwa post nzuri mwiguru is a futere president of this country akuna kijana mwenye ubongo unaochenka kama huyu kama akiamua kugombea nitakuwa team mwiguru na jitaidi kuelimisha vijana waliobugizwa chuki baada ya wapinzani kuona ndo mwiba wao ila sie wasomi tunamuelewa.
Kama hoja inavyosema hapo juu ombi kwa vijana wenzangu ni wakati sasa kuwa washabiki kwa wanasiasa wanaoleta maendeleo kwenye majimbo yao mfano mwigulu,zito,dewji,magufuli na wengine ambao sijataja tuache ushabiki wa chama au mtu wengine ni maneno 2 majimbo hoi mfano Lisu mashule ya kata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.