inawezekana maana mpaka mtu anasema hivyo anauzoefu na huo uzoefu mtu anaupata kwa watu wa karibu labda ameona kwa mama yake mzazi , dada yake shangazi yake au bibi yake mke wake au binti yake si rahisi kuongelea usichokijua
Kaijage ye ndio anawatoa hao wabunge kwenye vyama vyao
naijiuliza sipati jibu hivi Mke akichukuliwa na Mwanaume mwingine tena jirani yako na anakukana hadharani utamlaumu huyo mwanaume?? au na alikoenda akiamua kuolewa utamlaumu Shekh/Mchungaji kwa nini unafungisha ndoa ya mke alokukimbia na...
Mngekuwa mnasomaga basi na sheria za uchaguzi zinasemaje Jimbo linapokuwa wazi, badala ya kukurupuka na mineno isiyokuwa na msingi na si muwatulize basi hao wanaohama wabaki kwenye vyama vyao kama kweli walienda huko kwa moyo wa kufia chama na si kutafuta maisha.
Viwanja bei poa vinapatikana Manyoni Mjini Vipo jirani na makazi ya watu Kuanzia SQM 800 na kuendelea
Bei kuanzia 1,500,000/= na kuendelea.
Viwanja 4 bei poa vinapatikana Dodoma Mjini maeneo ya MICHESE vina SQM 800 na kuendelea
Bei kuanzia 3,500,000/= na kuendelea, maelewano yapo, eneo...
Hii nimeipenda Big up kutufafanulia, hilo ni moja nina uhakika na mengine yote yana majibu kama haya. Naamini ye sio kichaa na mwandishi hasemi kwa nini alivunja au kufuta jambo, kwanza kwa Mtazamo wangu viongozi kama DR KIHAMIA ndio tunawataka tena ni wachache katika nchii.
DR KIHAMIA songa...
wekeni mtego tuone wakati wakipewa hizo ahadi na hivyo vitisho kama kweli hayo yapo inamaana haijatoikea mtu akakataa akamwaga ushahidi hadharani kuhusuhizo ahadi alizopewa au vitisho
heeee kumbe wanatangaziwa bei naona kama unakikashifu CHAMA kwamba hakina wanachama wenye moyo na maslahi ya chama ila wana wanachama wenye maslahi binafsi basi safari ndefu duh na bado mbichi
kwa upinzani huu ni muda wa kujipanga ili kuhakikisha madiwani na wabunge waliobaki hawakimbii tena, malumbano hayana tija tafuteni wafia chama msonge mbele watanzania tunatamani kujua huko ndani kunani watu wanakimbia usiku na mchana
Sio kuuliza choo tu ambacho ni muhimu lakini pia wamuulize anamkakati gani wa kuhakikisha madiwani wake na wabunge hawamkimbii na kwa utafiti wake kwanini wanamkimbia,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.