Recent content by Nookwa Nookwaa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Maamuzi ya CHADEMA kuwafukuza Uanachama Wabunge wake 19 (COVID-19) yaheshimiwe, hawatakiwi kuwepo Bungeni

    Pascal usituaibishe bwana. Kamati Kuu ya chama ndio chombo cha juu katika chama ukiacha mkutano mkuu. Ukifukuzwa uanachama na taarifa ikafika bungeni na tume ya uchaguzi lazima uondolewe bungeni. Au unataka mpaka Spika aalikwenye kwenye kikao cha maamuzi? Acha hizo kaka yanghu. mimi sina chama...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hawa Wabunge wasio na chama wapo Bungeni kwa sheria ipi? Nani anawalipa?

    Nasikitika kuona Ndugai anavunja katiba na anaachwa. Ni dhambi kubwa sana anafanya, aliapa kuilinda na sasa anaivunja. MUNGU ANAONA
  3. N

    JamiiForums Tanzania ‘Whats Next’ kwa hawa walinzi wa Hayati Magufuli?

    Hawa wana ofisi zao. Kabla ya kupelekwa kumlinda rais bosi wao aliwatuma kazi hiyo. Kimaandili sikutajii ofisi zipo wapi lakini watarudi na kupangiwa kazi nyingine.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

    Kwani Chadema wana wabunge? Ninavyojua mimi wale wa chadema 19 walifukuzwa, sasa sijui ni wa chama gani.
  5. N

    JamiiForums Tanzania UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Mimi sio Chadema lakini huyu kijana aliniudhi aliposema "Safari hii hatutumii bunduki tutatumia sindano shwaaaaaaa....." Huu ulikuwa ujinga wa hali ya juu kwa sababu aliyeumizwa ni binadamu sio mnyama. Hata angekuwa nyama chama cha kuwatetea wangekuja juu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Upinzani na hasa CHADEMA kuingia kwenye mtego huu dhidi ya Rais Samia?

    Hujasema chochote kuhusu kina Halima Mdee kuendelea na ubunge wakiwa hawana chama chochote cha siasa. Nipe maoni yako.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinauma kama kujua ukweli baada ya kudanganywa kwa muda mrefu

    Lakini Bunge mwaka 2018 lilisema ATCL kuna hasara kubwa, propaganda za kijinga zikaja kwamba wana faida na kutoa ruzuku serikalini. UJINGA MTUPU
  8. N

    JamiiForums Tanzania ATCL vipi flights za Dar - Chato zitaendelea baada ya kifo cha Dkt. Magufuli?

    Niliwahi kuelezwa na mtaalamu mmoja wa usafiri wa ndege kwamba ATCL litakufa kwa sababu linaendeshwa kisiasa. Chato ilikuwa inakwenda kisiasa tu. Ni ujinga wa kutojua biashara
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Hayati Magufuli na Mama Janeth imeniumiza na kunitafakarisha sana

    Mbona picha nzuri tu ya kumbukumbu. Imekuumiza nini?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hii dhana ya kusema tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi huwa siyo ya kweli

    Nifahamishe. Kaini alienda kumuoa nani wakati watu walikuwa wanne tu?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mbona walinzi wa viongozi Bara la Afrika wana vitambi?

    Wa kiafrika wengi ni watu wazima, hawana mazoezi, hawa ni vijana na wana mazoezi makali
  12. N

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa viongozi kutofumba macho wakati wakusali ni lazima kwa mujibu wa kazi yao au hiari yao?

    Unataka wafumbe macho halafu wewe ufanye nini?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

    Kweli Kigogo wewe kiboko kwa kukosoa lakini acha TABIA YA MATUSI tufahamishe yale ya kweli tu. Ukitukana unajivunjia heshima
  14. N

    JamiiForums Tanzania Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

    Hakumtukana, hao wanaosema hivyo wana akili finyu, yeye alimkosoa na hata Mwalimu Nyerere alikiri enzi za maisha yake kwamba kuna makosa aliyafanya wakati wa utawala wake na akaomba asamehewe, tumeshamsamehe.
Back
Top Bottom