Tanx Guys.
Na ili niweze kujua ni kiasi gani namdai.
Natakiwa kujua kiasi cha pato la mtu wa hali ya kati kuweka akiba ni Tsh ngapi?
Sasa mara baada ya kubaini hicho kiasi ni zidishe mara ( a )365×3
Naitwa Nolren J.
Naomba msaada wa kisheria. 2011 nilimaliza kidato cha NNE. Nikipata alama za kufeli mitihani za chini. Ambazo zingenipa fulsa ya kuendelea na masomo kwa namna tofauti. Kwakuwa familia yetu haikuwa na uwezo wa kunipeleka chuo cho chote ndugu mmoja wa ukoo akadai nikae katka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.