Recent content by Nokla

  1. Nokla

    Porojo za Wana Yanga Kubeza Uwezo Wa Fei Toto na Kumpaisha Aziz K, Mimi Mchambuzi Nguli Nasema Feisal anastahil kuwa MVP

    Huyu feisal amezidiwa hata na bacca huko kwao zanzibar, alafu aje huku bara kapapatua papatua awe mvp, labda mvp huko kwenu kwa makolo
  2. Nokla

    Pasi Milioni atishia kumpeleka mahakamani Benchika

    Huyo pasi milioni ni mpumbavu, hao wachezaji wazee waliochoka ni Namungo au Majaliwa?
  3. Nokla

    Mawe kwenye figo

    Kunywa maji mengi sna kiasi kwamba hata ukimuweka chura tumboni anaweza kuishi. Mimi niliwahi kuwa na tatizo kama hilo ila nilipona kwa dozi ya vidonge vya mwezi 1 na unywaji wa maji mengi hadi vyura wakawa wakiniona wananishangalia njiani.
  4. Nokla

    Plot4Sale Nauza place yangu Heka 3 Heka moja laki 9.5

    Mkenge ipo katikati ya kijiji cha mwavi na fukayosi njia kuu ya kutoka bagamoyo kwenda msata. Wastani wa kilometa 35 kutoka bagamoyo mjini hadi hapo kwenye njia panda ya kwenda mkenge. Na panaumbali wa kilometa 10 kutoka main road hadi kijijini mkenge. Kwahiyo wape watu taarifa kamili ili mtu...
  5. Nokla

    Hakuna umeme toka Asubuhi

    Huku bagamoyo kiwangwa umeme ulikatika jana saa3 asubuhi umerudi leo saa6 mchana
  6. Nokla

    Maandamano CHADEMA: Moshi kwafukuta, CHADEMA yazizima, kweli watu wamechoshwa na CCM na serikali yake

    Hiyo moshi yoote ni sawa na bunju tena bunju kubwa sana. Hakuna jipya
  7. Nokla

    Ukweli lazima usemwe Yanga SC iachane na kuingia mikataba ya udhamini ya kitoto maana ishakua taasisi kubwa Afrika

    Mashabiki wa yanga wapumbavu, hakuna hata mechi moja mliojaza uwanja kwa pesa zenu. Hata yanga day hamjazi wanja...hadi muweke viingilio bure alafu leo mnakuja kuponda udhamini na bado mnata timu ichukue makombe yote. Ovyo sana nyie
  8. Nokla

    Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

    Unaambiwa wachezaji wa 5imba wana Vichwa vigumu mnoo kuelewa maelekezo ya mwalimu
  9. Nokla

    Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

    Ndani ya misimu 3 simba imebadili makocha wangapi?
Back
Top Bottom