Recent content by Nofli-Rsa

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gwajima anaongea Kiswahili cha wapi?

    Inaelekea anachokizungumza umekifahamu ndio sababu unaona amekosea. Katika kuandika, kura na kula anafanya sahihi, inavyotakiwa.
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    kakudanganya nani?
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA imuunge mkono Mpina hata kama ACT sio rafiki, CHADEMA isimamishe wagombea ubunge kupitia ACT na kura za urais ziende kwa Mpina

    Sikubaliani na wewe, ACT Wazalendo ni chama halisi cha upinzani dhidi ya CCM kabisa, usitake kupumbaza watu kwa propaganda zako zisikokuwa na msingi wowote. Labda useme kuwa wewe ACT Wazalendo, hukipendi kwa sababu zako. Twambie hivyo. Ushauri au rai ya mtoa MADA ina mashiko sana na CHADEMA...
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    Samia hawezi kushinda labda kwa maguvu, amefanya uovu mwingi kwa Watanganyika, amewagawa kwa lengo la kuwatawala kirahisi. Amewatesa kwa kuwapiga na kuwavunja miguu achilia mbali kuwabambikizia kesi, lkn amekuwa akiwateka, kuwapoteza na kuwauwa. Tangu Tanganyika ipate uhuru 1961 Marais wote...
  5. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

    muite itakavyo kupendeza, hukatazwi!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rostam Aziz ana uraia wa Uingereza?

    kuna mtu amesema alimsikia akisema kuwa ana mkoba wa Mama Eliza II - hili likoje?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rostam Aziz ana uraia wa Uingereza?

    Na Je, Vipi Salim Kikeke, ni wa Tz au UK?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni aonya wanaodhihaki viongozi mtandaoni

    Wakati Kikwete akiwa Mwenyekiti wa CCM, huyu jamaa akiwa Mwenyekiti wa UVCCM alikumbwa na kashfa mbaya sana ya kufoji umri, alijifanya kijana na kuweza kushika nafasi hiyo. Ingawa aliondolewa kabla ya miaka mitano kwa 'pressure' ya vijana wa CCM na maneno makali ya Kikwete. Aliposhtukiziwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Zanzibar wapendekeza Rais Mwinyi atawale kwa miaka 7, wasema kufanya uchaguzi 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za umma

    Huyu Bibi ni Mzambia, alikuja Zanzibar miaka ya mwanzo 1980 aliolewa na David Castico pale Kwa-Ali-Natu. Jambo la ajabu mwaka 2020 aliingia katika kinyang'anyiro cha kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM. Siku hizi amepotea haonekani..
  10. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amuapisha Zuhura Yunusi kuwa Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu

    hataki mume, yeye mwenyewe ni mume
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

    Nilivyomuelewa Ruto, amebadilisha utaratibu tu na sasa 'visa' uwanjani yaani, 'airport' baada ya kuwasili..
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mama Mariam Mwinyi akutana na Malkia Camilla wa Uingereza

    kwa hivyo huyu jina lake la asili ni Mary Herman (Mariam Mwinyi) ni mkristo kama ilivyo kwa mke wa PM Majaliwa ambaye naye ni mkristo hapo ndoa ilifungwa kwa dini gani, ilifungwa vipi?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais kuzuia magari mengine kwa muda fulani mpaka apite na Ulaya ipo hivyo?

    wewe ni muongo mnafiki ni muongo mwizi, 'never ever' London au UK kwa jumla wake ...kuweza kukutana na msafara wa waziri mkuu au kiongozi mwingine wa ngazi hiyo. lakini, la muhimu ni kukukufahamisha kuwa waziri mkuu wa uingereza, anaongozwa na pikipiki bila kupiga vig'ora na kwa mtumiaji...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuanza ziara ya kikazi Marekani

    swali la kijinga sana na lenye kujaa chuki za uCCM hazijifichi..
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kama mnamuona Rais Samia ameshindwa kusimamia Katiba na kulinda rasilimali zenu muwaombe Wabunge wamuondoe kwa Ibara ya 46A ya Katiba

    upuuzi wake uko wapi hapo? hakumsifu magufuli, anajuwa chanzo cha utawala huu mbovu ni magufuli, lkn bila magufuli samia milele asingeweza kuwa rais tz. yeye anasema kutokana na matatizo mengi yanayoikabili nchi kwa sasa ni busara wabunge watumie katiba kumuondoa madaralani rais samia, kwa kuwa...
Back
Top Bottom