Recent content by noelahope

  1. noelahope

    Tunauza nguo za kiume kama mashati na suruali

    Pole dear....kitu rahis sikuizi fungua page lipia ukitangaza hukosi Mteja....unaweza weka tangazo MTU akafanya utani Na biashara Heri uwe Na page yako ulipie shoga
  2. noelahope

    Kodi kwenye youtube,instagram na tweeter bussness account

    Sielewi sana hapo lakin mwanzo nilikuwa nalipia matangazo kwa wasanii wakubwa mpaka laki moja Kwa wiki....siku nilifunguka kuna Ku kulipia Na kadi yangu ya bank kwa Mr Fb imeniokoa sana mana kwa dollar hata 2 kwa siku unauza poa tu
  3. noelahope

    Mafundi cherehani pitia hapa

    Wakuu nataka kununua mashine ya cherehani ya kushona ya miguu Na mashine ya overlock....nikauliza duka moja Arusha wakanambia wapo Na za India kwamba ni nzuri...kwasababu mi si mtaalamu mafundi Naomba mnielekeze mashine IPI ni nzuri kwa ushonaji haina usumbufu
  4. noelahope

    Mnaotoa mizigo ya kuuza kutoka Nairobi kuja Dar es Salaam mnatumia usafiri gani?

    Panya road ni zipi mkuu Na magari gani[emoji1] [emoji1]
  5. noelahope

    Kufanya biashara na Wabongo yataka moyo; mwanangu amepigwa vibaya bidhaa za mtumba.

    Kikombaa ni watoto wa mjini kuna wanaowajua wanawapa mazuri Na mpaka yaje ukienda kutafuta biashara unaangukia pua kwa wizi
  6. noelahope

    Kwa wenye uzoefu wa biashara ya viatu vya kimasai naomba msaada

    Sijamtia pilipili yoyote kama ni ushauri umeandikwa tu mbona kama mawazo ya MTU, sisemei kubuni ata mimi nishafanya biashara hiyo Na naishi Kenya natoa uzoefu ule nipo nao si lazima MTU Achukue unaweza soma Na upite sijakushikia mtutu
  7. noelahope

    Msaada maelekezo kufungua sponsored page ya FB

    Fungua page huko ukishafungua...nenda equity bank fungua acount hata 20,000/ then Nitafute nikuelekeze
  8. noelahope

    Msaada maelekezo kufungua sponsored page ya FB

    Nashindwa naanzia wapi kukuelekeza, ila una page fb au insta ndo tuanzie hapo
  9. noelahope

    Kwa wenye uzoefu wa biashara ya viatu vya kimasai naomba msaada

    Viatu vya kimasai original ni Nairobi mkuu, soko linaitwa "Kariakoo" kama unaenda Islii viatu vizuri hatari bei ya kutupa viatu mpaka 5000 ya Tanzania Na original jipange kuchukua nchi ingine kama mtaji upo vizuri
  10. noelahope

    Hivi maji ya kunywa ya Kilimanjaro yanauzwa Nairobi?

    Hakuna Kilimanjaro huku, ila biashara ya maji zipo kampuni nyingi mno chupa kama ya Kilimanjaro inauzwa 30- sawa Na 600 Tz sasa labda upate mchongo kwenye supermarket kubwa
  11. noelahope

    Mnaotoa mizigo ya kuuza kutoka Nairobi kuja Dar es Salaam mnatumia usafiri gani?

    Embu tusaidiane wadau wanaotoa mizigo Nairobi usafiri kuja Arusha mnatumia UPI? Nimetumia dar ex press kidogo lakini hela zinalipwa nyingi Na saingine mzigo ubaki boda.....mwenye mawasiliano Na hizi "Perfect " najua boss anaitwa zungu ila sinaga Namba mwenye Nazo atusaidie wadau mana vijana...
  12. noelahope

    Msaada maelekezo kufungua sponsored page ya FB

    Lipia na card yako ya bank fb ni rahis na utauza adi uchanganyikiwe ujue tu watu wanataka nini kulingana na vipindi.....Mimi tangu nimejua kulipia huko aku nakula kilain
  13. noelahope

    Kufanya biashara na Wabongo yataka moyo; mwanangu amepigwa vibaya bidhaa za mtumba.

    Weeee usinikumbushe....naishi Nairobi mama yangu akanisumbua sana nimtumie bale za Gauni auze zake Moshi meimoria...huyoo na mvua kikombaa nikaunganishwa na rafik kuna shemeji yake anipeleke kumbe ni dalali uwiii....bale tukauziwa moja 30,000/ ambayo ni 600,000/ ya Tanzania tukanunua 2 then...
Back
Top Bottom