Kwa wenye uzoefu wa biashara ya viatu vya kimasai naomba msaada

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,861
6,342
Habarini jukwaa labiashara, niende moja kwa moja kwenye mada, mimi nimejiingiza kwenye biashara yaviatu vyakike vyakimasai nakuna mtu yupo dar huwa ananiagiziaga mzigo huku mkoani. Sasa changamoto ninayokutana nayo niaina yaviatu yaani sample nyingi jamaa yangu hana nanimejaribu kuongea nae inaonesha hana sample zaidi yahizo anazonitengenezeaga. Lengo langu kama kuna mtu humu anafanya hii biashara au anafahamiana nawafanya biashara wabidhaa hii anaweza nisaidia kama sio yeye basi hata mawasiliano yamtu anayefanya biashara hii kwajumla ili anioneshe sample zake nakama tukiafikiana tuanze biashara. Msaada wenu ndugu zanguni
 
Mficha uchi hazai, huu uzi wangu sijui niuweke wapi lakini naomba meseji iwe imefika. Nilimuwezesha Mama yangu na tumefanikiwa kulima shamba la muhogo ekari 5, Muhogo upo vizuri nimeshaanza kuvuna kwa kuwauzia majirani, Tatizo langu Muhogo ni mwingi na unapitiliza kukomaa, wateja wanunuapo baada kuchagua huniachia mabaki mengi ambayo nasi tunayamenya kukausha makopa, lakini makopa hayo yanashindwa kukauka kutokana na hali ya hewa ya mvua za mara kwa mara. Nimekwama naomba msaada wa soko la muhogo. Shamba lipo wilaya ya Mkinga Mpakani na nchi jirani ya Kenya. mawasiliano 0754 269445
 
Viatu vya kimasai original ni Nairobi mkuu, soko linaitwa "Kariakoo" kama unaenda Islii viatu vizuri hatari bei ya kutupa viatu mpaka 5000 ya Tanzania Na original jipange kuchukua nchi ingine kama mtaji upo vizuri
 
Back
Top Bottom