Recent content by noel oga

  1. noel oga

    JamiiForums Tanzania Haya mabongoleva Mungu atusamehe tu Tanzania

    Hili taifa linaitaji uponyaji ukisikiliza hii misongi ya wasanii ni usenge tu yaani wanaimba usenge tu..naangalia TV za hapa tz zinapiga ukuda.haya ndio madhara ya serikali kutuwekea misingi mibov ya elimu kikomo ni std 7 au secondary wanaishia form 2 au 4 wakifeli Wanaimba ukuda huu na kutoa...
  2. noel oga

    JamiiForums Tanzania Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    karibu manyoni boss hiyo pesa ni mingi kwa hapa unaweza kuiwekeza nina sehem za kuiwek hiyo pesa na bilionea wa karibun
  3. noel oga

    JamiiForums Tanzania Natafuta mswaki wa engine 1zz

    sawa ndugu
  4. noel oga

    JamiiForums Tanzania Natafuta mswaki wa engine 1zz

    Habar ndugu zangu natafuta chimbo zuri kwa hapa dar ambalo naweza kupata mswaki mzuri wa 1zz bajet yangu 1.7mil.ahsante
  5. noel oga

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha samsung s9

    Mwenye kioo cha sasmsung s9 nicheki 0766205600.simu imevunjika kioo na ina taarifa za muhimu.p
  6. noel oga

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mimba imeingia?

    100% ni mjamzito maana mlikutana siku ya kumi toka aanze siku zake.jiandae matunzo
  7. noel oga

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

    R.I.P mzee angalizo kwa wazee wengine wapenda mbunye
  8. noel oga

    JamiiForums Tanzania Afariki kwa kudaiwa kupigwa na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na Askari wa Jeshi la akiba

    Mama kipenzi cha watanzania tizama askari wako uliowaamini jinsi wanavyowafanyia watanzania wenzetu.Alaaniwe huyu askari pamoja na uzao wake wote
  9. noel oga

    JamiiForums Tanzania Kati ya kiwanja, gari au pikipiki, kipi cha kuanza nacho maisha kwa kijana?

    Fanya kitu ile nafsi yako inapenda,,pesa yako ni ndogo. Hyo nyumba itaishia msingi renta na kupaua tu hatimay litabak pagale unakuwa umezika pesa.Nenda show room chukua usafiri hata wa 8mil wenye piston 3 ili ukurahisishie kukusanya zaid hicho kipato then zilizobak save sav and save
  10. noel oga

    JamiiForums Tanzania Je, ABC bank wanatoa mikopo Kausha damu? Nimestaajabu sana

    Nitangulize pole kwa watumishi wenzangu ambao wameomba mkopo kupitia bank hii kuanzia june 2024 kwasababu nina imani mpaka napoandika uzi huu leo august hawajapewa mikopo hiyo na pesa zao za mishahara zinakatwa. Banc abc mjue mtu anapoomba mkopo ana malengo yake thabiti hajaomba tu kama mchezo...
  11. noel oga

    JamiiForums Tanzania Maulizo ya mshahara kila mwezi - Watumishi wa Umma

    hivi kuulizia mshahara wangu huwa inamaanisha nina maisha magumu.
  12. noel oga

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    wabongo tutachelewa sana kimaendeleo Mtu anaomba gheto hajatamka kama anaenda kufanya zinaa nyinyi tayari mmeshamtwisha mzigo wa dhambi sasa yupi kati yenu na huyu muwaza ngono kabla.Watu wana michongo kibao ndugu zangu mjini hapa msikae kiboya mnawaza ngono tu..
  13. noel oga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki kutumia pesa yake kununua kitu chochote kwa matumizi ya familia

    chini ya udhamini wa shetani
  14. noel oga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yangu mzazi kaanzisha mahusiano ya kimapenzi na kijana mdogo, inaniuma sana

    wewe na mama yako ni wapuuzi.laana ipo kwenye damu zenu.salini sana
Back
Top Bottom