Alienambia anadai na yy kaambiwa na mkuu wa chuo alokosoma na kumuona tna hawez mana kasafir so nkaona nlilete kwenu Wana jamii forum pengne nanyi mmesikia
Usaidizi kidogo wada iv hizi ajira mpya za afya inakuaje kwA tuliomali za mwaka jana mana asili mia kubwa vyeti havijatoka ivo tutafanya vipi apllication
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.