Naomba nieleweke katika mtizamo huu:
Dr. Ulimboka, mimi nahisi kaambiwa nyamaza kwani alisema anawajua, anajua aliyechukua wallet na simu, na amewatambua waliohusika na mengi alisema atasema lakini hakusema.....
Dr. Mwakiembe, naye alisema anajua nini chanzo cha sumu, anajua nani wametumwa na...