Recent content by Noche

  1. Noche

    JamiiForums Tanzania DP world kwenye mikataba yao upo pia ya kujenga misikiti mikubwa kwenye safari ya islamization of Tanganyika

    Sifa moja ya kuwa mwanafisiem ni kuwa mjinga.
  2. Noche

    JamiiForums Tanzania Jamani hebu tujadiliane, Mama Samia alianza vizuri sana katika utawala wake-what happenned?

    Tamaa ya madaraka tu yani alitakiwa amalize miaka iliyobakia kwa kutekeleza ile falsafa ya 4r kikamilifu afu apite hivyi.
  3. Noche

    JamiiForums Tanzania Bunge la EU linajadili kumpitisha Lissu kuwania Tuzo ya Sakharov

    Acha upotoshaji usio na tija,mngetunga sheria kali zinazowabana mashoga basi mana yamejazana kibao mtaani.Tumia elimu yako vizuri mzee.
  4. Noche

    JamiiForums Tanzania Before JPM kuondoka…. Kulikuwa na matukio mengi sana ..iliogopesha

    Huyo pimbi alitudhulumu pesa zetu sina hata hamu nae.
  5. Noche

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Dah!,kweli dunia sio yetu aisee.
  6. Noche

    JamiiForums Tanzania Op-Ed: Kutoka Risasi 16 hadi Kizimbani kwa Uhaini: Je, Mahakama Ndiyo Silaha Mpya ya Kumnyamazisha Tundu Lissu?

    Hongera sana mwandishi ukuu wa Mwenyezi Mungu umejionyesha kwa Tundu Lissu.Tz anatakiwa kiongozi kama yeye(mkweli na mtu wa haki) ili watumishi wa umma na raia wote kwa pamoja tufanye kazi kwa bidii tuiletee nchi yetu maendeleo ya uwakika,mana kiongozi anayetuongoza sio mwizi lazima tumuunge...
  7. Noche

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Huruma kwa muhaini(muuaji wa rais wa nchi).Uhuni wa kijinga huwo.
  8. Noche

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Daah!,sio kunyongwa tena kweli nyie vigeugeu
  9. Noche

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aiambia mahakama yuko tayari kufa kwa kupigania haki na demokrasia

    Nyie mnachokifanya kwenye uchaguzi ndiyo uasi na mapinduzi.Uzuri ameshasema anyongwe au aachiwe,ni nyie wezi sasa muamue kusuka au kunyoa
  10. Noche

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na utimamu wa kihisia na kiakili, maneno ya mwisho ya Tundu Lisu lazima yatakufikirisha na kukuumiza

    Mnaogopa sana kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi.Uchaguzi tz umegeuka maafa viongozi wa upinzani kunyanyaswa na hata kuuliwa kisa tu uchaguzi.Ushajiuliza mabadiliko yangefanyika yale maafa yasingekuwepo au mnajitoa tu akili.
  11. Noche

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aandamwa na tuhuma mpya za usaliti

    Achaga ushoga,mkundu utapasuka huwo.
  12. Noche

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tulipanga Jezi ya Taifa izunduliwe na Rais, Wizara zote ziwepo, taasisi zote tuzialike

    Daah!,acheni kumpelekesha mama wa watu hivyo.
  13. Noche

    JamiiForums Tanzania Majaji wasikubali kudanganywa na msamaha wa Raisi kwa Lissu!

    Wahaini ni wezi kura,watekaji na wauaji wa raia na sio Lissu.
  14. Noche

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi Lissu kafanya kosa la uchochezi sio uhaini

    Kudai uchaguzi huru na haki ni kufanya uchochezi,tushachoka mjue kushiriki dhambi zenu za kipuuzi basi tu.
  15. Noche

    JamiiForums Tanzania Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

    Nyie wezi wa kura na waauaji ndiyo mlistahili kufutwa kabisa.
Back
Top Bottom