Recent content by Nobody 34

  1. Nobody 34

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukikubali maridhiano na CCM tutakuwa watu wa ajabu sana. Damu ya Polepole itatulilia hadi kaburini

    Tusipokubali kuridhiana, sasa what next.?
  2. Nobody 34

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni za ukopeshaji zinazokiuka sheria na kanuni kwanini hazichukuliwi hatua?

    Sasa utasaidiwa vipi taarifa zako za juu Kwa juu, umetuma kama Anonymous lakini Bado umeshindwa tiririka majina ya kampuni, uzalishaji WA Haina gani, vitisho vipi na mambo mengine ya nje utaratibu na sheria za ukooeshaji.... Mwaga Mchele wamiliki wajirejebishe, wahusika wafuatilie, pia wengine...
  3. Nobody 34

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iangalie kwanini Watu wengi wanasota kutoboa mitihani ya Leseni kwa Wauguzi na Wakunga

    Afya kitu sensitive sana kama kwenye ufaulu hakuna hujuma we jitahidi faulu.
  4. Nobody 34

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Bila Mkataba: Haki za Wafanyakazi wa Kampuni ya Temboking yupo gizani

    TembokingLTD hawataki kujua kuhusu kimo Cha chini Cha mshahara.. Kwa maelezo yako
  5. Nobody 34

    JamiiForums Tanzania KERO Makundi ya WhatsApp Siha: Udhalilishaji Watawala

    Bila screen shots, basi hii ni taarab tu
  6. Nobody 34

    JamiiForums Tanzania KERO TAWA yafuta barua za ajira za askari wake 12 wa AJIRA MPYA. (Kozi Intake NO.02)

    Sheria ya kazi labor law act umepitia lakini hususani kwenye kigezo Cha umri na aina ya kazi?
  7. Nobody 34

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi kwenye malipo ya cash hospitali za serikali (imetokea Amana)

    Ni wakati WA kununua bima Kwa njia hiyo....
Back
Top Bottom