Wazungu nao ni binadamu, usidhani kwamba team ya Tanzania haijajipanga. Wao hata wamlete nani, kama kweli wana hatia itabaki tu. Kwenye negotiation kinacho matter si idadi ya watu bali substance ya negotiation.
Hapo hujamjibu mwenzako. Umehemka tu, hakuna maneno ya msingi uliyoyaandika. Tukio limetokea, na shuhuda aliyekuwepo ni dereva wa Lissu. Alipaswa aende polisi na kueleza namna tukio lilivyotokea. Tatizo watu mnajifanya mnajua wakati hamjui chochote. Itoshe kusema dereva anapaswa aende polisi. Na...
I initially thought the way you do. But am no longer thinking this way anymore. Kenyatta thought that the judges could have maintained the status quo. Going about his recent pronouncements about fixing the court, I can hear his regrets. That said, I don't believe Kenyatta is democratic the way I...
Hivi wazungu walipowauza na kuwatumikisha babu zetu katika mashamba yao ile ilikuwa demokrasia? Na ni nchi gani iliyoendelea kwa kuruhusu watu wake wafanye wanayotaka hata kama ni ya kijinga?
Sumaye anapaswa awashauri wanafamilia wake walionyang'anywa mashamba na serikali waende mahakamani. Kuwaita waandishi wa habari sidhani kama itasaidia sana. Hata hivyo, inavyoonekana mashamba hayo ni yake na si ya wanafamilia wake. Kimsingi sioni sababu ya yeye kulalamika, aende mahakamani...
Mimi nilifikiri wanaipeleka Tanzania mahakamani kama mwanasheria wenu nguli alivyokuwa akidai. Sijui MIGA na takataka zingine. Nashangaa wanasema watajadiliana na serikali. Hawa wanasheria wasio na nidhamu na wanaoongea kwa kukurupuka wanapaswa wabadilike. Sasa watapolipa hela wanayodaiwa na...
Na wanakimbilia huko CHADEMA ndo pamebaki kuwa salama kwa mafisadi, waongo na wazembe. CCM siyo salama tena kwa mafisadi. Leo hii kila anayetumbuliwa CCM anakimbilia CHADEMA. Siku hizi wanaCHADEMA wanachojua ni matusi, kuropoka na kupokea na kutetea wezi tu. Na mnampa wakati mgumu sana katibu...
Mikataba mibovu haiwapi wanaCHADEMA chance ya kuwatetea wezi kama mnavyofanya kwa sasa. JPM anachukua hatua, halafu eti CHADEMA wanawatetea wezi ili waendelee kutuibia.
Tundu Lissu wenu ndo anatetea mikataba mibovu. JPM anachukua hatua, lakini wanaCHADEMA wakiongozwa na mwanasheria wao hawataki rais achukue hatua. Report ya pili inatoka kesho, tusubiri. JPM ananyoosha kweli kweli. CHADEMA mtabaki kutetea wezi maana chama chenu kwa sasa kimesheheni wezi. CCM...
Tena bora CCM, ingekuwa CHADEMA kwa mambo wanayoyafanya hata kabla hawajapata dola, wakipata dola wataiuza kabisa hii nchi. Hata hivyo, wameanza kuumbuka kwa matendo yao. Na watu wanaona. Kufika ikulu ni ndoto ya mchana kwa CHADEMA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.