Recent content by No matter

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mimba

    Thanx!
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mimba

    mwathu nimesema kwa wanaojua tu!!!!! Ukiona mtu kashindwa kuelewa swali jua lazima afeli tu, take it into consideration ok!
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mimba

    Mkumba Vana thanx! 4 ur more elaboration
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mimba

    Bigbro just know that imehapen after testing, aren`t u?
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mimba

    Mkumba Vana tumetoka hospital saa sita mchana, na period imeonekana jion hii, bt alikua hahisi dalili za period pia hajahis maumivu yeyote. NB: 2lienda AGAKHAN
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mimba

    Mkumba Vana tumetoka hospital saa sita mchana, na period imeonekana jion hii, bt alikua hahisi dalili za period pia hajahis maumivu yeyote. NB: 2lienda AGAKHAN
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mimba

    Hi! Jf, swali kwa wanajua tu.leo nmempeleka mchumba wangu hospital amepima amekutwa ana mimba ya mwezi mmoja,, bt ameingia period leo, je mtu anaweza kuingia period while yuko mimba ya mwezi mzima? Majibu kwa daktar 2mechukua wote. Nawasilisha.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Siipendi fani ninayosoma...... Ni kwa sababu ya umasikini wangu.....!

    Ww dogo acha mbwembwe utakufa maskini, endelea kuchagua courz uone, mm namshukru mungu kwa courz niloxoma
  9. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2012 yatangazwa rasmi

    Naona BRN imeanza kufanya kazi, mwezi mmoja matokeo tayari! Hiyo machine imesaidia xana, swali kwa anaejua, kuanzia grade ipi ndo watachaguliwa kujiunga masomo ya kidato cha kwanza? Maana hajaweka marks ni grade tu.
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kweli hii ndio maana ya kujali??

    ww M.E.M.A kwa hiyo m2 akikufariji kwa matatizo ulopata haina maana? Bt aki2ma hela kwa Mpesa hapo ndo kakujali!!? Nina mijibwa yangu miwili nikiku2mia pesa kadhaa naamini mbwa wangu wataenjoy K pamoja na 0713 yako, coz ur prefer money to human dignity. daa! Umaskini ni ki2 kibaya xana.
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiiraq

    Sifa za wanawake wa kiraq, wanaongea, wanacheka, wanalia,wanakula, wanatembea, wanasimama, wanalala, wanakimbia, wanaoga, digestion inatake place kama viumbe hai wengine pia wana milango 5 ya fahamu kama viumbe wengine nk.
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimsaidiaje mtu huyu?

    Jamani kwa nn wanawake wanaongoza kwa roho mbaya!?? Just ugali only unaleta JF!!? Mara ooo atanichukulia mume wangu hujiamini? Hayo umeamua kuongezea tu bt da major issue ni ugali (mavi), yaani ww ukikabidhiwa mtoto ambae huna undugu ndani ya mwezi waweza mlisha sumu ili asikuharibie budget Lol...
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidien

    Huyu nae!!! Analia yule pale analia!! What for?!!
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

    Naomba kwanza age na hako unakokaita kademu kako age yake ili nikusaisidie ilivokaa
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke IQ ndogo na watoto wote ni Mambumbumbu

    Ww ulimshauri nini? jamaa kua msomi haimaanisha ana akili ya kuzaliwa nayo hiyo ni ya darasani tu, hivo watoto hawawez kurith akili ya darasani ok! Tambua hivi vi2 viwili yaani NATURE & NURTURE, ww na huyo jamaa yako unaemwita msomi wote ni maambulula
Back
Top Bottom