Recent content by Nnyagho

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini bodaboda wengi wanapenda kuning'iniza viatu?

    Ni sahihi kbsaa, hata boda boda ni hivo hivo, Nao eti "hawapendagi ujinga"
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini bodaboda wengi wanapenda kuning'iniza viatu?

    Je unafaham lengo Lao wanaoning'iniza kwenye nyaya za umeme????
  3. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wamemmiss Mh. Kikwete ushaidi huu hapa

    Chadema hawajawahi kuwa Rais wa JMT, Kwa hiyo ni vema ukamwelewa huyo anachomaanisha,, Chadema bado ipo haijastaafu , bt Kikwete ni Rais mstaafu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
  4. N

    JamiiForums Tanzania Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

    Scorpion Nadhan yupo vzr Sana,welldone Scorpion,,, kama huyo jamaa ni kiongozi wa vibaka,,, Nyambafuuuuu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Prof. Kitila Mkumbo kwa Tundu Lissu

    Nakubaliana nawewe mjumbe hapo juu, si lazima kila kitu akoment, sometimes wanajidhalilisha mno, Huyu prof.. kuhama hama kwake vyama vya siasa ni ishara tosha Kuwa hana sela, hana msimamo, abakie kuwa shabiki alienipambanua not otherwise!!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nang'atuka kwani ualimu siyo baba yangu wala mama yangu

    Maisha bila sacrifice mafanikio utaishia kuyasikia redioni, hongera Sana Mwl kwa kuthubutu..
  7. N

    JamiiForums Tanzania Katuni za Nathan Mpangala nazielewa sana

    Katuni za jpm wanachora kidevu hadi kinagusa chini [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Back
Top Bottom