Jaman mke wngu ni zaida ya miaka mitano tunatafuta #mtoto lakn wapi! Nimeenda hospital mblmbl kama Agha khan, Aman, General dodoma na Upendo zote za dodoma lakn sion matunda yke, imêfikia kpindi mpka nilianza kwnda kwa waganga wa miti shamba lakn huko nako hakujanisaidia, naomben ushaur au tiba...
Mheshimiwa naomba utueleze ni kwanini wizara ya mali asili na utalii ina misukosuko haswa awamu hii ya nne ya dkt. Kikwete?
Rejea aliyofanya Maige na sasa Nyalandu, Je unadhani ni sahihi inavyoendeshwa wizara hii?
Ivi sheria inazungumziaje kuhusu ongezeko la mshahara kwa mwaka haswa sekta binafsi? Nasema hvyo kwa 7bu mpka sasa kuna mgogoro wa chnchn kat ya (NUMET) chama cha wafanyaz na mgodi! Naombwa kufahamishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.