Recent content by NNRWA

  1. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Kuku wanauzwa

    Karibu pm mkuu
  2. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Kuku wanauzwa

    Asante mkuu samahani sitoweza kukuhudumia, nahudumia waliopo Arusha
  3. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Kuku wanauzwa

    Mkuu kama upo serious njoo na 23,000/= saize ya juu na 20,000/= saize ya kati hizo ndizo bei zangu za mwisho siongezi wala kupunguza
  4. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Kuku wanauzwa

    Haitalipa mkuu nishaongeza vinyamanyama😂
  5. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Kuku wanauzwa

    Nauza kuku kuazia Tsh 20,000/=, chotara(Tanbro) wana miezi mitano uzito kuanzia kg3 hadi 5 napatikana Tengeru Arusha Karibuni sana🙏
  6. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

    Hiyo avatar yako vip!!!???
  7. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Nakupa codes kuhusu Raba hii kali ya Air Max

    Je ni original? Kama ndivo nipatie pair moja nyeusi
  8. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Nimeikumbuka TP Lindanda Pamba Football Club

    Yupo kishili siku hizi na baiskeli yake haiachi
  9. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

    [emoji16][emoji3][emoji3][emoji3] Usinivunje mbavu mkuu "mgongo wa kijiko[emoji1][emoji1][emoji1]"
  10. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwahiyo na wao Kuna sehemu Huwa wananunua ndio maana wanatafuta wadau wakuwachangia? Sijawahi kulipia Nije siku Moja nijaribu nione
  11. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Watakuambia $40 Kwa mwezi au 50$ Kwa miezi miwili wanakuwa wanakupa odds mbili Kila siku swali kama Wana uhakika wa hizo odds mbili Why wasitoe bure au wapige TU pesa kimya kimya wanaiger siyo wa kuamini sana
  12. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii kitu niliiogopa bure
  13. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Chukua odds Tano TU! Means uchague Tano kwenye hizi 37
  14. NNRWA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nampa TU over1.5
Back
Top Bottom