Recent content by nnn

  1. N

    JamiiForums Tanzania NBC Bank Tanzania

    hatariiii
  2. N

    JamiiForums Tanzania DC NA WATENDAJI WA MuGUMU WATACHEYEA KICHAPO HV KARIBUNI.

    mafhezui hao
  3. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA:Jasho, vumbi, maumivu, na hata damu ndo ukombozi wenu

    ukombozi hauji kwa lelemama
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wapokelewa kwa shangwe Mbozi

    ccm na hao vijana kwa pamoja hawajui walitendalo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Kamanda tuko pamoja CHAGULANI kesho ndo hukumu yake...Pia kuna tetesi kuwa anahamia CHAUMA.....
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Pambana kamanda saa ya ukombozi ndio hii...nasikia diwani juzi aliitisha mkutano wa hadhara maeneo ya kwake hakupata wadau...watu washakata tamaa nae..kwa sasa wanakuunga sana mkono wewe...na wanasubilia kwa hamu hukumu yake hapo trh 31.05.2013.baada ya hukumu wanasema watahakikisha...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Kamanda mambo vip...harakati zinaendaje pande hizo...nilikuona wiki iliyopita ukiwa kwenye mkutano wa CHAMA mtaa wa kishiri..ulikua na viongozi mbalimbali wa chama ngazi ya wilaya pamoja na matawi ya Kata ya Igoma..Nakutakia kila la kheri kamanda wangu.Viva CHADEMA.Pia nasikia fununu unataka...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natangaza nia ya kugombea ubunge - Itilima Bariadi

    kILA LA KHERI
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Pambana kamanda tutafika tu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Abubakhari wa Kemondo Mwanza akamatwa na jeshi la polisi kwa kutoa elimu ya uraia

    Ni kweli nami nimesikia hivyo....
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Kuziba nafasi ya chizi ADAM CHAGULANI....ambae amekisaliti chama
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    huyo dogo namjua..........sasa naona kaamua kuwatetea na kuwatumikia wana igoma 2015....kila la heri bro
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tanroad morogoro

    jamaa angu kapigiwa simu leo....na amepta kazi bila kujuana na m tu yoyote tena jamaa ni mwalimu
  14. N

    JamiiForums Tanzania News: Aloyce Kalunde kugombea ubunge jimbo la Sumve wilayani kwimba 2015

    pia wajiandae kukutana na yule jamaa wa CCM B amabae uchaguzi uliopita alihongwamilion 30 na ndassa.....akashindwa kwa tofauti ya kura 1200....kwa sasa ni diwani wa kata ya Lyoma......anaitwa JULIUS SAMAMBA
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kamanda mawazo kuongoza moto wa m4c igoma-mwanza 2/1/2013 .

    MBONA HUYO KAMANDA nICKY anatajwa sana huku Igoma kwani ni vipi?????????
Back
Top Bottom