Mzee baba umechambua vizuri sana,,sema pale ndanda ni kama ujerumani mwanangu yaani kule water source ni kama ardhi iliyomegwa kutoka ujerumani na kuwekwa pale 😂😂😂
ni kweli mgambo ni sehemu ya jeshi tena siku hizi mnaitwa jeshi la akiba serikali kama imeshindwa kuwalipa posho au mishahara basi hata nauli ingekuwa imetoa tamko kama kwa askari wa majeshi mengine kwamba msilipe nauli kwa sababu kuna baadhi ya maeneo mnamchango mkubwa sana wa kuleta amani na...
mkuu bashiru yuko sahihi kwa analolisema shida yangu ni kwanini aseme wakati huu mbona hakusema wakati wa magufuli alikuwa anaogopa nini na yeye ndo alikuwa kiongozi wa waliokuwa wanashukuru na kupongeza na makiki kibao katika vyombo vyote vya habari
sasa maswali kipindi kile hakuyaona haya? au...
safi kabisa naungana na wewe katika hili,,,bashiru ndo muasisi wa haya mambo ya kutukuzana na kusifiana pasipo sababu sasa hivi njaa inamnyemelea anaanza kulalama,,,avune alichopanda
Mimi Naona kama bashiru na yeye anazingua kwa sababu juzi tu hapa enzi za hayati magufuli bashiru ndo alikuwa kinara na meneja mapambio kwa Mh. Rais.
Na pia alikuwa anasifia hata pasipo stahili kusifiwa, hapo ndipo watu tunaanza kuwa na mashaka nae huyu mtu alikuwa anataka na kitu gani...
kwa hiyo boda akisev hiyo pesa anaweza nunua pkpk 3 walau kwa mwaka? hahaahahaa,,,bodaboda siku hizi ni nyingi mno 15k inapatikana kwa shida na kama ingekuwa kweli wanapata 50k per day nafikiri kusingekuwa na tatizo la ajira tz na Africa kwa ujumla
hahahahahaa watu wa mjini bhana,,,leo mmekosa maji ndo mnalalaama si wenzenu huku bush ndo maisha yetu hayo kwa hiyo endeleeni kuonja joto la jua ila mjue na sisi ndo tuko ivo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.