Recent content by Nnala

  1. Nnala

    Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja. Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, jana alipanda ‘kizimbani’ mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kujibu malalamiko dhidi yake ya kupokea zaidi ya Sh. milioni 40.4 kutoka kwa mmiliki wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd...
  2. Nnala

    Suala la Mahakama ya Kadhi na Kura ya Maoni

    Dar es Salaam. Jumuia na Taasisi za Kiislamu Tanzania zimesema kuwa zitahamasisha Wanajumuia wake kususia kupiga kura za maoni ya Katiba mpya hadi pale watakapopata uhakika wa kupata Mahakama ya Kadhi yenye meno. Kauli ya Jumuia na Taasisi za Kiislamu zipatazo 11 imetolewa leo Jijini Dar es...
  3. Nnala

    Dr Slaa kupokelewa Kama Mfalme Marekani inamaana anatambuliwa uwezo wake?

    Msalani kuna jambo nimejifunza hapa. Hoja si gari moja. Hoja ya Kwanza kabisa ni mwandishi wa kichwa cha speech yenyewe. Ameandika kiushabiki sana kwa maoni yangu, "a stunning speech". Pili, ukiangalia kwa undani, Dr. Slaa hajapokewa kama mleta thread alivyoandika. Anasema kama mfalme...
  4. Nnala

    Dr Slaa kupokelewa Kama Mfalme Marekani inamaana anatambuliwa uwezo wake?

    Msalani kuna jambo nimejifunza hapa. Hoja si gari moja. Hoja ya Kwanza kabisa ni mwandishi wa kichwa cha speech yenyewe. Ameandika kiushabiki sana kwa maoni yangu, "a stunning speech". Pili, ukiangalia kwa undani, Dr. Slaa hajapokewa kama mleta thread alivyoandika. Anasema kama mfalme...
  5. Nnala

    Hata kama Mkwara, muangalie na mikwara ya kupiga, vinginevyo...

    Betlehem hongera sana kwa uandishi wako. Kipekee nadhani unaandika kile unachokiamini hata kama kina maumivu fulani kwa wapinzani. Si jambo la busara kwa upande wenu wapinzani kumchukia na kumtukana mtu mwenye mawazo na imani tofauti na yenu. Tuvumiliane ili tuweze kujenga uwanja mpana wa...
  6. Nnala

    Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

    Wenyewe wahoji matumizi ya ruzuku, kususia Bunge la Katiba.Wadai Mbowe amejilipa milioni 700 za chama chao kinyemela .Washinikiza kuitishwa mkutano Baraza Kuu ili kuhoji viongozi BAADHI ya wajumbe wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameshusha tuhuma...
  7. Nnala

    Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

    Wenyewe wahoji matumizi ya ruzuku, kususia Bunge la Katiba. Wadai Mbowe amejilipa milioni 700 za chama chao kinyemela . Washinikiza kuitishwa mkutano Baraza Kuu ili kuhoji viongozi, BAADHI ya wajumbe wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameshusha tuhuma...
  8. Nnala

    Kwanini Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano ziwe za Jeshi?

    Ndugu yangu Behold, kila taifa linapaswa kuwa na vipaumbele vyake kulingana na resources zake. Kwa nchi kama Tanzania kushindwa kutengeza silaha za kisasa si ajabu kwani ni mataifa machache duniani yenye uwezo huo. Hata hivyo, uchumi wetu na potential enemy wetu ata determine tunanunua silaha...
  9. Nnala

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Hata maneno yako mwenyewe source yake ni mwanachi? Du!
  10. Nnala

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Wahenga wanasema usimtukane mamba kabla hujavuka mto. Na hasa ikiwa kuvuka mto kuelekea ng'ambo ni jambo lisilokwepeka. Nadhani Chadema walilewa mafanikio ya muda mfupi na sasa they are coming back to their senses.
  11. Nnala

    Sijui ni umbulula wa raia au siasa za CHADEMA, NCCR na CUF zimekwama wapi?

    Hii ni comment moja ya ajabu sana. Unataka kila Mtanzania afikiri kama wewe? Wewe kama unaona Chadema ni jibu, wengine wanaona chadema ni shida. Lazima ukubali kutofautiana na wengine na hiyo usiitafsiri kuwa wa TZ ni mbumbu.
  12. Nnala

    CHADEMA kushinda Chalinze

    Chollemadulu, kama huu ndio uelekeo wa siasa za ushindani kuhusisha makabila, Chadema ikishinda isifurahie aina ya ushindi huu. Ni hatari sana kuanza kutengeneza mbinu za ushindi kwa kutegemea wingi wa watu wa kabila lako. Tanzania ya Nyerere ilikua imestaarabika zaidi ya sasa kwa sababu...
  13. Nnala

    CHADEMA kuimarika zaidi; inajipanga kwa sasa!

    Kweli uandishi ni kazi ngumu. Sijaelewa huu ni uzi wa aina gani.
  14. Nnala

    Ni nani 'Role Model' wako katika siasa za Tanzania?

    Kaka Betlehem, noamba unisaidie kunipa source ya hii "Nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - (Freeman Aikaeli Mbowe, Nov 2012). Kuna ndugu yangu ameniomba nimpe source ili wabishi wake waweza kuridhika. Nitashukuru...
  15. Nnala

    Ni nani 'Role Model' wako katika siasa za Tanzania?

    Betlehem, heshima kwako Mkuu. Nimeipenda sana hii thread kwa kua umemtendea haki sana rais wetu. Ni wenye upungufu wa fikra tu, watakao ona JK hata kwa hili hafai. Unajua kuna watu ambao ni mashabiki wakubwa wa marehemu kuliko walio wazima. Hawa ndio wale hata uwafanyie nini hawatakubali...
Back
Top Bottom