CHADEMA kuimarika zaidi; inajipanga kwa sasa!

CHADEMA kuimarika zaidi; inajipanga kwa sasa!

MJENGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
883
Reaction score
853
Nimetonywa na mmoja wa maafisa wa chadema makao makuu kuwa kufikia katikati ya mwezi wa sita mwaka huu chadema kitakuwa kikiimarika kwa kasi ya ajabu baada ya kukamilika kwa mikakati ya kureorg baada ya chama hicho kupigwa na mawimbi mazito yaliyohatarisha uhai wake baada ya chama hicho kumtenga rasmi Zitto Zubeir Kabwe.

Moja ya mikakati ambayo chadema imeikamilisha, kwa mujibu wa chanzo hicho, ni kwamba wamezungumza na Filikunjombe ili agombee urais kwa tiketi ya chama hicho. Anayetajwa kuhusika na mazungumzo ya makubaliano ni Kangi Lugora pamoja na Mnyika ambao kwa nyakati tofauti walisafiri kutoka bungeni Dodoma na kufikia kwenye hoteli ya mfanyabiashara mmoja Dar es Salaam, ambaye anatafutwa na Interpol, ambako walikuwa wakiendesha majadiliano ya siri. Chanzo kimetonya kuwa siku si nyingi Filikunjombe ataanza kukisaliti chama cha mapinduzi kwa uwazi na ataongeza kasi ya kuvuruga misimamo ya ccm bungeni ili afukuzwe chama kisha atumie nafasi hiyo kuhamia chadema.

Imeelezwa kuwa ili kujiimarisha, chadema kimeamua kuachana na wafadhili wao ujermani kutokana na madai kuwa Zitto amewaharibia huko baada ya kukishtaki chama kwa wafadhili kuwa hakiendeshwi kwa demokrasia.

Mpango wa chadema sasa ni kuhamia Israel na Italy ambako kwa ushauri wa Dr. Slaa chama kimehakikishiwa kuwa kitapewa support ya kweli. Chanzo kimesema kuwa chadema kinataka kutumia kete ya ushirikiano wa kibalozi ili kuishawishi Israel kukubali kukidhamini chama hicho. Chadema kimeelezwa kuwa kimejipanga kuwashawishi waistael kuwa kama itakisupport basi wao wataimarisha ties na nchi hiyo.

Kwa upande wa Italy, chadema kimeelezwa kuwa kimejipanga kuishawishi vatican kuwa kitalinda maslahi ya Italy ndani ya nchi na kwamba kitahakikisha kinatoa nafasi ya uwekezaji kwa nchi hiyo.

My take; Chadema isijitoe ujermani badala yake wazungumze na kusuluhisha tofauti zao. Ujermani imeisaidia sana cdm hivyo cdm ikianza kutafuta wafadhili wengine ni kujiyumbisha.
 
umeongea mambo ya msingi sana...tatizo filikunjombe atapata upinzani kutoka kwa wachaga kwa sababu sio mchaga au mkaskazin... kwa israel ni sawa sababu hata slaa alienda vatican kuomba ufadhili huko akanyimwa kwa sababu aliasi upadri.. ujeruman wameshaishtukia chadema ni matapeli
 
nyie endeleeni kufoji saini za waasisi wa muungano sisi tunaendelea na chaguzi za ndani mtaja shtuka tuna safu kali ya ushindi 2015
 
Kweli uandishi ni kazi ngumu. Sijaelewa huu ni uzi wa aina gani.
 
Haha ha haaaaaaaaa. Chezea wenye akili nyingi weye!
 
Nimetonywa na mmoja wa maafisa wa chadema makao makuu kuwa kufikia katikati ya mwezi wa sita mwaka huu chadema kitakuwa kikiimarika kwa kasi ya ajabu baada ya kukamilika kwa mikakati ya kureorg baada ya chama hicho kupigwa na mawimbi mazito yaliyohatarisha uhai wake baada ya chama hicho kumtenga rasmi Zitto Zubeir Kabwe.

Moja ya mikakati ambayo chadema imeikamilisha, kwa mujibu wa chanzo hicho, ni kwamba wamezungumza na Filikunjombe ili agombee urais kwa tiketi ya chama hicho. Anayetajwa kuhusika na mazungumzo ya makubaliano ni Kangi Lugora pamoja na Mnyika ambao kwa nyakati tofauti walisafiri kutoka bungeni Dodoma na kufikia kwenye hoteli ya mfanyabiashara mmoja Dar es Salaam, ambaye anatafutwa na Interpol, ambako walikuwa wakiendesha majadiliano ya siri. Chanzo kimetonya kuwa siku si nyingi Filikunjombe ataanza kukisaliti chama cha mapinduzi kwa uwazi na ataongeza kasi ya kuvuruga misimamo ya ccm bungeni ili afukuzwe chama kisha atumie nafasi hiyo kuhamia chadema.

Imeelezwa kuwa ili kujiimarisha, chadema kimeamua kuachana na wafadhili wao ujermani kutokana na madai kuwa Zitto amewaharibia huko baada ya kukishtaki chama kwa wafadhili kuwa hakiendeshwi kwa demokrasia.

Mpango wa chadema sasa ni kuhamia Israel na Italy ambako kwa ushauri wa Dr. Slaa chama kimehakikishiwa kuwa kitapewa support ya kweli. Chanzo kimesema kuwa chadema kinataka kutumia kete ya ushirikiano wa kibalozi ili kuishawishi Israel kukubali kukidhamini chama hicho. Chadema kimeelezwa kuwa kimejipanga kuwashawishi waistael kuwa kama itakisupport basi wao wataimarisha ties na nchi hiyo.

Kwa upande wa Italy, chadema kimeelezwa kuwa kimejipanga kuishawishi vatican kuwa kitalinda maslahi ya Italy ndani ya nchi na kwamba kitahakikisha kinatoa nafasi ya uwekezaji kwa nchi hiyo.

My take; Chadema isijitoe ujermani badala yake wazungumze na kusuluhisha tofauti zao. Ujermani imeisaidia sana cdm hivyo cdm ikianza kutafuta wafadhili wengine ni kujiyumbisha.

sio cdm bali sema sacoss ya wachaga inakalibia kufungwa.
 
Haha ha haaaaaaaaa. Chezea wenye akili nyingi weye!

nilijua soon utaonesha rangi yako halisi baada ya kupost propaganda za kike hapo juu,tatizo hapa umesahau kubadili ID,watu waliwaonya kuanzisha chama sio makalio,ona sasa kumbe bado mnaiota CDM.
 
Wachawi na wanafiki hawajifichi utawaona tu

nimetonywa na mmoja wa maafisa wa chadema makao makuu kuwa kufikia katikati ya mwezi wa sita mwaka huu chadema kitakuwa kikiimarika kwa kasi ya ajabu baada ya kukamilika kwa mikakati ya kureorg baada ya chama hicho kupigwa na mawimbi mazito yaliyohatarisha uhai wake baada ya chama hicho kumtenga rasmi zitto zubeir kabwe.

Moja ya mikakati ambayo chadema imeikamilisha, kwa mujibu wa chanzo hicho, ni kwamba wamezungumza na filikunjombe ili agombee urais kwa tiketi ya chama hicho. Anayetajwa kuhusika na mazungumzo ya makubaliano ni kangi lugora pamoja na mnyika ambao kwa nyakati tofauti walisafiri kutoka bungeni dodoma na kufikia kwenye hoteli ya mfanyabiashara mmoja dar es salaam, ambaye anatafutwa na interpol, ambako walikuwa wakiendesha majadiliano ya siri. Chanzo kimetonya kuwa siku si nyingi filikunjombe ataanza kukisaliti chama cha mapinduzi kwa uwazi na ataongeza kasi ya kuvuruga misimamo ya ccm bungeni ili afukuzwe chama kisha atumie nafasi hiyo kuhamia chadema.

Imeelezwa kuwa ili kujiimarisha, chadema kimeamua kuachana na wafadhili wao ujermani kutokana na madai kuwa zitto amewaharibia huko baada ya kukishtaki chama kwa wafadhili kuwa hakiendeshwi kwa demokrasia.

Mpango wa chadema sasa ni kuhamia israel na italy ambako kwa ushauri wa dr. Slaa chama kimehakikishiwa kuwa kitapewa support ya kweli. Chanzo kimesema kuwa chadema kinataka kutumia kete ya ushirikiano wa kibalozi ili kuishawishi israel kukubali kukidhamini chama hicho. Chadema kimeelezwa kuwa kimejipanga kuwashawishi waistael kuwa kama itakisupport basi wao wataimarisha ties na nchi hiyo.

Kwa upande wa italy, chadema kimeelezwa kuwa kimejipanga kuishawishi vatican kuwa kitalinda maslahi ya italy ndani ya nchi na kwamba kitahakikisha kinatoa nafasi ya uwekezaji kwa nchi hiyo.

My take; chadema isijitoe ujermani badala yake wazungumze na kusuluhisha tofauti zao. Ujermani imeisaidia sana cdm hivyo cdm ikianza kutafuta wafadhili wengine ni kujiyumbisha.
 
sio 70 babu slaa ana umri usiopungua miaka 73 na huu kadanganya umri wake halisi ni miaka 78

ha ha kwa hiyo mzee slaa anakimbizana na mugabe? ndio.maana birthday zake hatuzisikii anapiga kimya kimya ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom