Recent content by nlambaa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hii picha kuna kitu hakiko sawa: Mzee George Mkuchika amesimama vijana wamekaa

    Ukiachana na protokali. Inawezekana zilipigwa nyingine ambazo alikaa pia wakachagua hii kupeleka kwa hadhara
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo mbaya kwa CCM mwaka huu inawezekana nchi ika collapse baada ya Uchaguzi

    Mishahara si itaanza kwenye bajeti mpya yaani mshahara wa mwezi wa saba yaani hata hili umeshindwa kuelewa? Au makusudi ku justify hoja yako?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Iwe mvua au jua, giza au nuru nachojua ipo siku nitaendesha hii gari. Mungu awatimizie na ya kwenu pia

    Hii ni kati ya 130m na 150m inategemea ya mwaka gani
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

    Mkuu Google utaziona ni ndogo kama ulezi ila zinatofautiana rangi
  5. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

    Nani aliyekuambia anaweza kutengua majaji? Anaweza kuteua lakini siyo kutengua
  6. N

    JamiiForums Tanzania KISWELE COACH (Dar-Songea)!

    Ya Lindi ni mbali. Mimi nimepanda basi njia zote 2 na kuendesha private njia hizo zote. Ya Lindi ni mbali lakini unawahi kufika kwa sababu hakuna msongamano wa magari na hakuna milima mikubwa. Ya Iringa magari ni mengi na milimi mikubwa, kitonga na Lukumburu
  7. N

    JamiiForums Tanzania KISWELE COACH (Dar-Songea)!

    Box 2 wa lini wewe. Nilikuwepo mitaa ya Luhira 1989 hadi 1992
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini Sababu: Mume amehama ghafla na kwenda kupanga bila ugomvi wala maelezo yoyote

    Hapa kuna tatizo. Tafuta ndugu zake wamchukue. Hatujui siku ya kufa, lakini ghafla amefia hapo kwako unaweza kupata changamoto ya kuhusika na upelelezi
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Dar msaada wenu

    Huu ni ukweli. Muda huu hawezi kupata boti. Muhimu aende mpaka magomeni au kariakoo atafute kwa kulala hadi asubuhi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mimi Bibi Yenu Mpambanaji nimedhulumiwa kwa kutokujua sheria

    Hapana, kwa sababu hili lina implications za kisheria, unatakiwa uchukue hatua hasa za kujiondoa kwenye hiyo kampuni
  11. N

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Anga Tanzania chini ya ATCL ni ghali kuliko hata usafiri kutoka Bara moja kwenda lingine kwa mataifa mengine

    Kuna wakati mwingine una lazimika kusafiri kwa dharula. Utakataje mapema?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka achangiwa mil 73 ili kupigania haki ya binti aliyebakwa na Maafande

    Hapana mkuu. Hujaelewa. Hii ni ya private prosecution hivyo serikali haihusiki hqpo
  13. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi

    Hii siyo kweli. Kama siyo wanapanda vituo vya mbele basi wamechelewa. Kwa sababu ukifanya booking inatoa muda wa kulipia. Ni chini ya dakika 50 kama sikosei
  14. N

    JamiiForums Tanzania I think its my time to rest, I am nothing in this world

    Mkuu. Kufunguka hivi ni tiba tosha kuliko angekaa na jambo moyoni. Bottom line ni kuwa hayuko peke yake mwenye changamoto kwenye maisha ingawa hajaweka wazi aina ya changamoto anayopitia
Back
Top Bottom