Recent content by Nkyambe

  1. Nkyambe

    Bandarini: TRA kupiga mnada makontena 20 ya Paul Makonda kwa kushindwa kulipa kodi

    Ninachokiona JF ni hiyo document ya TRA na sio gazeti
  2. Nkyambe

    Bandarini: TRA kupiga mnada makontena 20 ya Paul Makonda kwa kushindwa kulipa kodi

    Tunapoongelea headed papers maana yake ni kwamba karatasi za kuandikia nyaraka za ofisi huwekewa nembo au jina la ofisi husika mapema. Kwa kesi hii ni TRA. Na mwaka unaooneshwa hapo, 2008, ni mwaka wa TRA kupewa ithibati na Shirika la viwango la Kimataifa -- ISO, na namba ya utambuzi ni hiyo...
  3. Nkyambe

    Bandarini: TRA kupiga mnada makontena 20 ya Paul Makonda kwa kushindwa kulipa kodi

    Kiigereza chako hakijakusaidia kitu, huelewi headed papers hubeba ujumbe gani? Bashite!
  4. Nkyambe

    Bandarini: TRA kupiga mnada makontena 20 ya Paul Makonda kwa kushindwa kulipa kodi

    Hamuelewi maana ya headed papers za kuandikia nyaraka mbalimbali, eti ya 2008! Mkapa kasema kweli elimu yetu imeshuka hadi aibu tupu
  5. Nkyambe

    Kwanini vijana wenzangu wananiita dogo na wengine kiumri nimewazidi?

    Labda una kamwili kadogo kama kakuku ka kienyeji kale ka miguu mifupi. Kikwetu tunakaita 'kasegano' hata mtoto mdogo hawezi kushiba akikala kote
  6. Nkyambe

    Uzao wa nguruwe na maajabu yake

    Hivi kumbe Pemba iko Tanzania eeeh!
  7. Nkyambe

    Hizi pete inawezekana zina matumizi mengine tofauti na kumaanisha ufreemason?

    Ulilolianza mwenyewe limalize mwenyewe! Kwanza ufreemason hauna lolote la ajabu na pete ni chuma tu kama vyuma vingine. Hakuna lolote la maana la kuhangaisha watu wenye akili sahihi
  8. Nkyambe

    Rupia ya Mjerumani: Ni kweli sarafu hii ina thamani kubwa au ni story tu?

    MMOJA, Utapeli wa wazi huu. Mwenye akili hujiuliza iweje rupia ambayo hata mtoto mdogo aliweza kuishika kwenda nayo dukani itengenezwe kwa madini yenye thamani kubwa kuliko rupia yenyewe ilichoweza kukinunua dukani! Wajinga ndio.........?
  9. Nkyambe

    Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    Ujinga ule ule wa Watanzania kama walivyotapeliwa na babu wa Lololiondo. Mimi SMS kama hizo nimepata nyingi na nawajibu 'pumbavu, nenda kalime upate pesa' hawarudii kunitumia tena upuuzi wao
  10. Nkyambe

    Kama uliwahi kunywa kikombe cha babu wa Loliondo tupeane mrejesho wa afya

    Katika nchi za wanaojitambua huyu mzee angekuwa amewekwa ndani siku ya pili tu baada ya kuanza kunywesha watu kikombe. Badala yake viongozi wetu wakawa wa kwanza kukimbilia huko! What an unbelievable shame! Ni dawa gani inatolewa kwa msimu mmoja tu? Mbona antibiotics zilitolewa tangu enzi na...
  11. Nkyambe

    BUNGENI, DODOMA: Mbunge ahoji kwanini Askari Polisi wana vitambi vikubwa hadi kushindwa kufanya mazoezi

    Mbona yeye Bulembo ana kitambi kikubwa sana? Anaona boriti...........!
  12. Nkyambe

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Hajakosea, black mamba ni koboko na puff adder ni kifutu. Na ni kweli amepata jina la black mamba kwa sababu kinywa chake ni cheusi. Ngozi yake ni kijivujivu sio nyeusi
  13. Nkyambe

    Ajira Mpya: Serikali kuajiri Walimu 10,000 mwishoni mwa mwezi Juni, 2018

    Kwa kuwa sasa wa sekondari wamepelekwa msingi nawashauri walimu wa sekondari wasio na ajira waombe nafasi hizi za msingi na hakika wataajiriwa wote watakaoomba kwa kuwa wana elimu ya juu zaidi kuliko wale waliosomea kufundisha shule za msingi, ikizingatiwa sasa ni halali kabisa wa sekondari...
  14. Nkyambe

    Mh.Rais umeharibu malengo yangu na familia yangu

    Inaandikwa kwa kuanzia kulia kwenda kushoto
  15. Nkyambe

    Huwa simuelewi huyu Ansbert Ngurumo na post zake kama hizi ana maana gani....

    Wa mitaa ya Ufipa na Lumumba kwenye uzi huu wanajipambanua kirahisi
Back
Top Bottom