Recent content by Nkya Jr

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naamini CCM wamepiga vibaya mahesabu ya siasa za Zitto na ACT yake

    yaani sasa chadema kwa kumuondoa zitto,inaonyesha kuwa ni chama makini,hakina kukubebeana maovu kama ccm ,na yoyote atakaye jihusisha uovu wa aina yoyote tutamtoa tuuu maana hamna jinsi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, uwezo wako wa kisiasa katu hautakwisha kwa kuenguliwa, taifa linakuhitaji

    nikweli taifa linamhitaji kama kijana,ila uzalendo umemshinda baada ya kudangaywa na kutamani ufisad wa ccm bali taifa linahitaji wazalendo wenye msimamo siyo tamaa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuiondoa CCM Madarakani kwa kutumia demokrasia ya ubaguzi ndani ya vyama vya upinzani ni vigumu

    kwa huyo anesema chadema ni kina ukabila na ubaguzi atuonyeshe,cha kunishangaza upewa akili ya kutafakari ndio maana umetofautishwa na mbuzi pamoja na wanyama wengine jitahidi kuchambua uone na sio kusikiliza maneno yakizushi ya napee
  4. N

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    usichezee maisha siyo mpira
  5. N

    JamiiForums Tanzania CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    zito akirud CDM narudisha kad ya chama,hatuwezi lea uozooo
  6. N

    JamiiForums Tanzania CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    huu ndio muanguko na kusambaratika kwa mnara wa babeli,na vigumu wao kuzungumza lugha ya umoja,kwa heri ccm kwa miaka kuwageza watz mtaji,umaskini,ufisadi na sera za udanganyifu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    jamani watanzania wenzangu tujitahid kukumbuka na kutafakari la ya richmond na tusisikilize kelele za wanasiasa,anachukukizwa na lipi ambalo yeye hakulifanya?kelele hizo ni harakat za kuingia ikulu,na kwa ukweli na ikulu yetu ya Tz haina nafasi ya mafisadi tena tumechoshwaaaaaaa,
  8. N

    JamiiForums Tanzania CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    jamani ccm nailinganisha na mnara wa babeli kwamba wamefika mahali wamejesahau ikulu imegeuzwa ghetto la masela ,kipindi cha kuporomoka kimefika ,kukijenga mpaka kizazi hao mnaowaona kipote kitawagharim siyo chini ya miaka mia ijayo,na kashfa zote ndizo dalili za maut ya ccm
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Zitto Kabwe: CCM wamecheza game of mind kuelekea uchaguzi mkuu

    jamani waaizi na mafisad hawana nafasi CDM,
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Zitto Kabwe: CCM wamecheza game of mind kuelekea uchaguzi mkuu

    jamani tuacheni ushabiki zitto kwa mtu anaye mfahamu vizuri kwanza cdm wamechelewa kumtimua,alikuwa anang'ata na kupuliza,kwa kuondoka naamini CDM chama cha wanaarakati,hakuna kubebana kwa maovu,Mungu ibariki Chadema,Mungu Tanzaniaa
Back
Top Bottom