Recent content by nkwila

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nauza Eneo la Heka Moja Mlandizi

    Bro nahitaji km vipi ni pm ili nikapaone w.nd hii
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa wakati mgumu kipindi hiki nikiwa na ujauzito wake, hanijali

    Yaani hadi nimecheka kwa saiti
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta line ya Tigopesa & M-Pesa

    Mm pia ninazo pamoja na flot km vipi nipm
  4. N

    JamiiForums Tanzania "Mungu nijalie maisha yenye furaha", Kauli ya mchepuko

    Jamani hivi mnawajua wanaume au mnasema tu..yawezekana hata hajasema hivyo labda tu uzazi umegoma mume kachepuka ndio anamwambia mchepuko maneno hayo ili kujustfy
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu anaweza kukupa mke mwingine iwapo tayari una ndoa ya Kikristo?

    Bro kuwa makini mimi mwenyewe napitia machungu ya ndoa sana mume wangu ameamua kuoa mke mwingine nimejaribu kufuatilia hawa wachungaji lkn wengine wana mapepo ya utambuzi kuna vitu wanashauri unajua kabisa hapa hakuna mungu ...take care wasikupoteze
  6. N

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu anaweza kukupa mke mwingine iwapo tayari una ndoa ya Kikristo?

    Ww nawe km huamini ni wewe tu mungu yupo anatusaidia hasa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Kiongozi nami mipo kny harakati za kufungua duka ninaomba km hutojali nipate contact zako unipe muongozo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    Mbavu sina jina la pili la mgombea ni...pombe
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nauza Meza ya Vioo-Aluminium (showcase) ya Duka/Stationery

    Km unahitaji mm ninayo pamoja na mlango wake mzuri kwa biashara ya saloon ya kisasa au chochote ni pm number tuongee biashara
  10. N

    JamiiForums Tanzania Biashara: Nasambaza dagaa waliokaangwa

    Hiyo bei ni kwa gm ngapi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Fremu inapangishwa Tandale Dar es salaam, wahi usikose

    Panafaa kuweka phamacy
  12. N

    JamiiForums Tanzania Bure: Fursa ya mwaka, pima afya yako

    Naomba kujua ni maeneo gani ili nije kupima afya yangu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Line ya Tigo pesa inauzwa

    Bei gan mkuu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni mwanamke msomi, mrembo

    Samahani sijaelewa hili tangazo nifafanulie
  15. N

    JamiiForums Tanzania Nauza laini zangu za Tigopesa, M-Pesa na Airtel Money

    mm pia ninazo kama unahitaji ni pm tuongee biashara
Back
Top Bottom