Recent content by Nkuba25

  1. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

    Lakini wote si waarabu.?
  2. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

    Waarabu ni wajinga sana.
  3. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania AL Jazeera wanahoji kwanini Iran inashambulia nchi za Kiarabu lakini wanaogopa kuishambulia Israel na Meli za Kivita za Marekani?

    Walitakiwa pia kuuliza: Why Arabs countries support US to bomb Iran?
  4. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ayatollah Imeendelea Kunyonga Walioshiriki Maandamano ya Januari. Leo Imenyonga 2

    Trump ndiye alisema. Sasa unataka evidence gani hapo?
  5. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

    Nchi za ki Africa zingeachana kabisa na kitu kinachoitwa democrasia. It doesnot work in Africa.
  6. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ayatollah Imeendelea Kunyonga Walioshiriki Maandamano ya Januari. Leo Imenyonga 2

    Trump alishasema kwamba wao USA ndio walikuwa wanachochea hayo maandamano na hadi walitoa silaha ili waandamanaji waue polisi. Kwa hiyo kunyongwa kwao ni sahihi kabisa.
  7. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Aende degree ipi kati ya hizi: Civil, Mechanical, Electrical, Mineral au Data Science? Matokeo yake ni GPA 1.6 (PCM)

    Acha kumsomesha hizi traditional degree... Tafuta Degree ya Mechatronics ndio akasome.
  8. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Utawala Iran wapasuka! Vikundi vya ndani vyaleta taharuki, wakipinga Spika na Waziri kukubali kukaa mezani na Marekani kwa mazungumzo

    Rubbish kabisa. Sasa hivi wanaoendesha nchi Iran ni wanajeshi wa IRGac na sio wana siasa. Kwa Iran Nchi ikiwa vitani, wanaoendesha nchi ni IRGC.
  9. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili za mataifa ya ulaya, Korea ya kusini na Japan kuingilia mzozo wa Iran

    Kwa hiyo USA na Israel wapo msibani na ndio maana wanaomba msaada.
  10. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili za mataifa ya ulaya, Korea ya kusini na Japan kuingilia mzozo wa Iran

    Kwa hiyo Korea Kusini na Japan ndio wataweza kumpiga Iran? Hapo hapo hao Korea na Japan wanalindwa na USA huko Asia Pacific dhidi ya China. Kweli sikio linataka kuzidi kichwa.
  11. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Vietnam wameanza kunusa harufu ya Mbabe wa Dunia kuanza kuzeeka

    China itaichukua Taiwan bila vita, bila kurusha risasi au bomu. Taiwan itafanya unification na China na kuwa autonomous kama Hong Kong ilivyo na maisha yataendelea.
  12. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania Tanker KC-135 Yaanguka huko Iraq-CENTCOM yatangaza!!

    Ndege ya kijeshi inaangukaje kama embe
  13. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yuko wapi mwamba Samia kwa sasa?

    Hata ungelikuwa wewe ungabakia?
Back
Top Bottom