Recent content by Nkosilorch

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    Kwa kweli ni jambo la kumshukuru sana Mungu mambo yanakuja yote kwa wakati mmoja
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    ivi we mkuu hunaga muongozo kabisa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    Yah huo ndo utaratibu mzuri kuliko usepe kimya kimya
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    Nafikiri hata ukiacha kule lazima utoe taarifa ukisepa kimya kimya italeta ishu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    alale tena mkuu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    Kwamba arudi kwenye check namba kule na vipi mkataba aliosaini kule
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    Habari za muda huu Wana jamiiforum. Aisee Kuna ishu ya dogo langu mmoja nashindwa kujua namsaidiaje huyu dogo alipata kazi serikalini mwezi December then akapeleka vyeti kwa ajili ya verification. Sasa mwezi huo huo December alifanya usaili kwenye taasisi ya umma inayoajiri yenyewe kwenye...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ishu hapo ni kua anapambanaje? Maana hajapata hata salary ya government, yeye anachotaka kujua afanyaje hapo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Duh kazi ipo aisee
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu Kuna ishu hapa naomba muongozo wenu, kama mtu amepata kazi kwenye PDF ya utumishi na ameshaenda kuripoti anasubiri simu ya kuitwa kuanza kazi rasmi ghafla akapigiwa simu na taasisi ya serikali inayofanya mchakato wa ajira bila kupitia utumishi mfano TRA maana alifanya written na oral...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Mkuu gaming board kwa afisa anayeanza kazi huwaga ni ngapi anaanza nayo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya TRA ya written ni kama A.I generated

    Sdhani nafikiri ni 2.34M TRA, 3M+ ni gaming board na TCRA
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Vp kuhusu HESLB
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata ajira ya kueleweka

    Cha kushangaza wale jamaa wanaenda wanaomba majina ya wenye ufaulu mkubwa kumbe wanaenda kuwatumikisha baada ya muda Wanawa dump tena.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata ajira ya kueleweka

    Habari za muda huu wakuu, mimi ni mhitimu wa shahada ya awali ya Bima na udhibiti viashiria hatarishi (Bachelor in insurance and risk management) 2022, kiukweli nashukuru sana tangu nimalize chuo sijawahi Kaa bila kazi nilipomaliza mwaka 2022 ni moja ya wanafunzi tuliofaulu vizuri na kuchukuliwa...
Back
Top Bottom