Recent content by nkonyoka

  1. N

    Wananchi kanda ya ziwa waanza kurudisha kadi za CHADEMA!

    acha uzushi wewe kanda ya ziwa ya wapi mbona sie tunaoishi huku hatuoni unachosema,ccm haina ubavu kuingia tena ikulu mwaka huu
  2. N

    Hali ya Pinda baada ya Uteuzi wa Magufuli kuwania Urais.

    sifikirii kama ccm inaweza kuchukua nchi.mwisho wao umefika
  3. N

    Midahalo kwa watia nia

    Kwa utafiti niliofanya ususani maeneo ya vijijini,midahalo inahitajika sana kwa watia nia wa udiwani na ubunge ili kupima uelewa wa mtu katika nafasi aliyotia nia. Baadhi ya wanaona kuwa na familia kubwa,pesa,nyumba nzuri anaona tayari ni kigezo cha kuwa kiongozi wakati hajui hata jukumu moja...
  4. N

    Mkutano mkubwa wa ACT - Wazalendo Musoma Mjini (Tarehe 20 Aprili, 2015)

    nyie ccm mwaka huu ni mwisho,mitego yenu imeteguka bila kunasa kitu,October ndo mtajua ukawa mzima
  5. N

    (Audio) Hotuba ya Mnyika akimshambulia Zitto na kusema ni adui yao

    zitto hana ubavu kwa Mnyika,hata bungeni mnyika anaongoza kwa hoja,ni mzalendo wa kweli Zitto msaliti tu
  6. N

    Operation tigi tigi yabomoa ngome kumi za Ngereja

    pamoja kamanda ila kwenye ratiba jimbo la busanda kata ya chigunga mmeiacha mbona
  7. N

    Kama askofu Pengo amewasaliti maaskofu, Lipumba amewasaliti waislamu wote?

    akili finyu sana,swala la kumtembelea mgonjwa liko nje ya udini au chama cha siasa ni kuonyesha utu wako kwa wengine,na Lipumba alisema kilicho mtokea Gwajima naye kilimtokea akiwa mikononi mwa polisi
  8. N

    Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

    pamoja kamanda,chigunga tunakuhitaji
  9. N

    Kifo cha CCM kimetimia

    watu wengine sijui huwa wanafikiri kwa kutumia nini?kuna uwiano gani kati ya kanisa na chama ,yaani ccm imekosa namna ya kujisafisha hadi inajilinganisha na kanisa
  10. N

    Ngeleja awararua wapinzani Katiba Inayopendekezwa

    hivi kweli hii katiba pendekezwa ina bana mafisadi?kwa ufisadi ulioko ccm hawawezi kutunga ktk ya kuwabana,
  11. N

    Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    kinacho takiwa ni mahakama ya kadhi kuendeshwa na waisilamu wenyewe si pesa ya serikali,kwenye pesa ya serikali kuna kodi ya wauza nguruwe,pombe,Nk vitu ambavyo ni najisi kwa waislamu,kukubali pesa ya serikali si ina maana watakuwa wamekubali mapato ya vitu haramu kwao
  12. N

    Mbowe atangaza Vita na Zitto katika Vikao vya ndani vya Chama

    ccm ingekuwa vizuri kujiuliza kwa nini kila pambazuko chama kinapoteza mvuto,kuliko kuongea kuhusu uongozi wa chadema
  13. N

    USAHIHI wa alichokisema NAPE leo katika Uwanja wa Mazingira Bora - Karatu

    kawaida ya ccm ni uongo tu,mikutano yako wanasomba watu na malori ili waonekane wanakubalika,ukweli ccm iko mahututi kabisa
  14. N

    CHADEMA yaigalagaza tena CCM

    naiona meli ya ccm inaendelea kuzama kufikia October hata onekana kabisa
  15. N

    Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA kanda ya ziwa Victoria uwanja wa Furahisha

    mkutano ulikuwa mafuriko ya watu,hawakusombwa na malori wala kuja kuona msanii,kwa hali niliyo Iona uwanja wa furahisha mwisho wa ccm umefika
Back
Top Bottom