Hatutaki umwagaji wa damu na vilevile hatuko tayari kutawaliwa na kikwete baada ya ngwe yake itakapomalizika oktoba 2015,tumefukarishwa vya kutosha,tumedhihakiwa mno na tumefarakanishwa na huu utawala kupita kiasi.
Sita&co(ccm) wanatulaghai gawana lolote. Mbona aliyeleta hayo mabehewa hafikishwi mahakamani au kuwekwa kizuizini. Kwani ile sheria ya kuzuia wakora imeshafutwa?
Kwa tanzania ya awamu hii yawezekana kbs,mbona wezi wa escrow:wanashtakiwa sehemu tofauti wanasiasa na maafisa wa ikulu : tume ya maadili,maofisa wadogo mahakamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.