Recent content by nkogy

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kauli walizoambiwa wanafunzi wa udaktari na machief kwenye mitihani ya vitendo(practical)

    Muombe msamaha Mgonjwa mwambie samahani nilitaka kukuua😅😅😅
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada : Changamoto nimekwama hapa kwenye kuomba mkopo HELSB naisovu vipi hii ?

    Hii mbona ipo open kabsa... yaan barua ya utambulisho uliyoomba dhumuni lake hukuchagua maombi ya mkopo wa Elimu ya juu. Kwenye lengo la barua wakati unaomba unaletewa list uchague unaomba baarua ya utambulisho uitumie kwenye nn huenda ulichagua kipengele kingine pasipo kujua . Rudia kuomba...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza ni kozi zipi kwa bachelor anazoweza kusomea mtu aliemaliza diploma ya pharmacy na hana grade D ya physics na mathematics kidato cha nne

    Asome bachelor of science in biology au bachelor of science in chemistry au bachelor of science in counselling and psychology .
  4. N

    JamiiForums Tanzania Aliyefanikiwa (HESLB LOAN) kipengele cha kujaza RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH)

    What if asipopata mkopo hawez kusoma aachane na kusoma??? Wengine mazingira ya nyumban magum bora apate huo mkopo hata akiteseka kuurudisha 8la ashatimiza ndoto zake
  5. N

    JamiiForums Tanzania RADIOLOGY AT CUHAS BACHELOR LEVEL

    Na St.john University pharmacy imeftwa😭
  6. N

    JamiiForums Tanzania Je, Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB?

    Ww ni mpambanaji sana Mungu akufanyie wepesi ufanikishe malengo yako. Nakuombea.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

    Akasome diploma ya clinical dentistry , Diagnostic radiography Au physiotherapy Hatojutia
  8. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanafunzi Kigamboni City College nakaribia kufukuzwa, Boom la nne hadi leo halijatoka, Afisa Mikopo hajulikani alipo

    Nenda ofisi za HESLB Au tembelea hayo maonyesho ya sabasaba ukatembelee kibanda cha HESLB HUENDA UKAPATA msaada
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini chuo kikuu cha Dodoma hakichukui ambao hawakufika kidato cha sita

    Mbn wapo waliochukuliwa ndug
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na hili la HESLB

    Kiapo hakuna sehem ya kuattach wakati wa kuomba mkopo labda kama ataattach wakat wa Appeal ila kwenye maomb inatumika namba tu ambayo pia kwa changamoto yake inatambulik sio kubwa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na hili la HESLB

    W Alisema kua ndio maana tuna kua na reference zaid ya moja kuna cheti cha kuzaliwa na taarifa za elim so hain shida kabsa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na hili la HESLB

    Jana walikua na session Google meeting nadhan na leo watakuanacho kuanzia saa kumi tembelea page yao ya Instagram kupata link ya kuingilia kwenye kikao unlike wanamaelezo mazr na wanajib kila swali.. kwa jana kuna mtu aliuliza walisema haina shida labda kama jina ni tofauti jina zima ila tofaut...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Je, Kipi bora? Unachopenda au chenye Maslahi??

    Nenda diploma in radiology hutojutia..
  14. N

    JamiiForums Tanzania Vyuo bora vya Pharmacy Tanzania

    Kama muhitim wa Mtwara COHAS am proud 👏
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Maelezo yako hayajitoshelezi
Back
Top Bottom