Recent content by Nkobe

  1. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Utatu mtakatifu ni fumbo gumu ambalo lilifanya Yesu akataliwe kwao

    Wakristu walikuwepo miaka 400 kabla ya Mohammed, injili ili kuwepo, Soma Biblia
  2. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Utatu mtakatifu ni fumbo gumu ambalo lilifanya Yesu akataliwe kwao

    Aliijua Biblia kwa mahubiri, babu zetu wanajua Biblia lakini hawakujua kusoma
  3. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Utatu mtakatifu ni fumbo gumu ambalo lilifanya Yesu akataliwe kwao

    Mashariki ya kati, ambapo Yesu alitokea hakubaliki. Isreal ambapo ndipo alizaliwa na kufanya miujiza yale yote hakubaliki. Wayahudi wako na imani yao ambayo haimtambui Yesu. Wayahudi wanaamini Yesu alikuwepo lakini ana baba na mama kamili wa kidunia, Yesu kwa Wayahudi ni mtu wa kawaida maarufu...
  4. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku kutumia CCTV Camera bila usajili. Je, ni kuwalinda wasiojulikana?

    Ujinga huu, kila mtaa, kila kona kunahitajika CCTV Kamera kwa ajili ya usalama
  5. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Sababu hazina msingi
  6. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

    Huyu kafariki huko Uturuki lakini hawasemi
  7. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

    Inasemekana amekata moto huko Uturuki
  8. Nkobe

    JamiiForums Tanzania DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

    1. Wameaminishwa ukifa utakuta mabikra na mito ya pombe mbinguni wakati kule hakuna miili kama hii tuonayo 2. Wameaminishwa Mtume kuoa mtoto wa miaka 6 ni sawa wakati ule ni ubakaji 3. Wameaminishwa ukivaa bomu ukaua mwanadamu mwenzio unapewa mabikra na pombe, wakati ukweli ni jehanamu moja kwa moja
  9. Nkobe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Leo ndio uchaguzi mkuu wa Wabunge Tanzania

    Oktoba ni danganya toto, leo ndio Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa watapatikana. Mchakato ulianza kwa Muhimili mmoja wa Serikali (Samia, Mpango na wenzie) kupitisha majina wanayotaka wao ili kuunda muhimili wa pili wa serikali. Iko wazi kuwa sasa Watanzania hawana tena haki ya kuchagua kiongozi...
  10. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Mimi Raia wa kawaida najiuliza, kamati kuu ya CCM ndio inateua wagombea wa ubunge, lakini kamati hiyo hiyo ndio inatakiwa kuhojiwa na Bunge

    Kama kichwa cha habari kisemavyo, hata kama wewe una IQ ndogo utajiuliza. CCM ndio chama tawala tangu uhuru, bila shaka kwa namna wanavyowapiga rungu wapinzani, ni wazi kuwa wabunge walioteuliwa na watawala ndio watarudi bungeni kwa wingi. Moja ya kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuihoji...
  11. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Wabunge walionyamazia vitendo vya utekaji na kushiriki kuuza bandari zetu wasirudi bungeni

    Kiongozi wao mkuu ndie anaeteua nani arudi Bungeni
  12. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa kumwaga oil chafu kwa utaratibu wa CCM

    Kwa mujibu wa Polepole. Ni utaratibu wa CCM. Mimi ni CCM, Rais wangu Mama Samia, miaka kumi imetosha, baada ya Nyerere hakuna aliekaa Ikulu zaidi ya miaka 10
  13. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Kama Israel ana nguvu kubwa kwanini US kaingia vitani?

    Kupata support ya Taifa kubwa kama US tayari inatokana nawe una nguvu. US sio fala, anajua Wayahudi wana akili
  14. Nkobe

    JamiiForums Tanzania US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

    Akili ndogo, unahamishaje mitambo mikubwa katikati ya vita? Mitambo ya nyuklia ni kijiko uhamishe kirahisi?
Back
Top Bottom