Recent content by Nkingwamh

  1. Nkingwamh

    Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Jibu lipo hapo hapo. soma vizuri uelewe! Au ndio msomi wa magazeti ya michezo kujua gool Ni ngapi kwa ngapi Pasipokujua yalifungwaje! OK sawa ngoja nirudi nyuma. Nimesema kua, Hapo ukichunguza vizuri Qur aan utagundua kua iko sehemu mbili 1 Ni damu ambavyo! Tena ujue bila damu mwili wa...
  2. Nkingwamh

    Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Mi ngoja nirudi kwenye msingi wa Mada yenyewe Mungu kafanya tone kua damu ilioganda( pande la damu) Hapo anamzungumzia mwanamke ambae yuko katika kipindi cha Ovulation Ambapo yai Allah ameliita pande la damu Hapo ukumbukwe kua yai la binadamu sio sawa na yai la ndege Yai hili la mwanamke wa...
  3. Nkingwamh

    Hakuna shida kuishi na figo moja

    Unapojiuliza nitawezaje kuishi na figo? Au kuna madhara gani kuishi figo moja Jibu Ni hili Hakuna Shida yoyote kwani kuna watu walizaliwa na figo moja na wanaishi vizuritu. Jambo la muhimu Ni kua makini ili hiyo figo moja isiharibike. Kwani kua na figo zote sio muhimu, muhimu Ni figo zifanye...
  4. Nkingwamh

    Nasumbuliwa na kikohozi kikavu

    Una siku ngapi unakohoa
  5. Nkingwamh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Habari bwana anasbo Una umri gani ndugu na mili yako iko naukubwa au kawaida
  6. Nkingwamh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Habari ndugu. Je hali hiyo ya kupata shida katika kupumua na vivimbe hivyoJe imekuja baada ya kuanza matibabu ya TB au ilianza nyuma?
  7. Nkingwamh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Habari dos 2020 Je damu hua Ina toka vipi! 1 nzito 2 midonge donge 3 kawaida. Kwa siku ngapi. Naomba nijibu hiyo tuendelee tafadhali
  8. Nkingwamh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    OK sasa naona fumbuzi yako tumeipata kwa elezo hii ya mwisho. Sasa kesho nitakupatia fumbuzi ya tatizo hii. Ngoja muda hii ipatie nafasi wengine kujibu swali mbili tatu.
  9. Nkingwamh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Je kuna dalili ingine yeyeto ilionayo tofauti na ukavu ya uke?
  10. Nkingwamh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Je ulisha wahi pata kua mimba, Au hujawahi?
  11. Nkingwamh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Pole sana kabla ya kujibu naomba nikuulize, Je hali hii imekuja ghafla au toka mwanzo ya kuanza mahusiano? Je hua una tumia njia za kupanga uzazi kwa kutumia dawa zozote? Naomba unijulishe hiyo ili tujue tatizo yako.
  12. Nkingwamh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Habari ndugu pure nomaa Am sory kwanza Naomba nikuulize kabla ya kuvaa hiyo kifaa kinga. 1 Je haukumshika shika uke yake kumuandaa mpenzi yako kabla ya sex? 2 Je wakati ukimshika shika sehemu ya uke ilikua ikitokatoka ile ute ute ya uke? 3 Ulikumbuka kukagua vidole au mikono yako...
  13. Nkingwamh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Swali yangu ya mwisho je aliwahi kupata ajili yoyote?
  14. Nkingwamh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Pole sana ndugu bachelor sugu. Hali kama hiyo inaashiria sehemu Fulani ya ubongo inapoanzia shingo( chini kidogo ya usogo) sehemu hii huitwa brain stem. Sehemu hii inapungukiwa mahitaji. Sina uhakika kama RCT ingeweza kusababisha hilo, ila kwakua jino yenyewe ilikua ni ya juu iko wezekano hiyo...
  15. Nkingwamh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Habari bwana best 1 boy Kwakua umesema ulishawahi karabatiwa eneo hiyo, na kwakua ilipata tatizo hiyo ukiwa bado iko mdogo. All and most nisemetu wakati kama hiyo bado maungo mbalimbali Inakua inaendelea kukua. Inawezekana kwa bahati mbayatu ya ufundi inaweza kutokea kuibana space ya...
Back
Top Bottom