Recent content by Nkasumuni

  1. N

    Wakati Tanzania tunapeleka balozi Israel, South Afrika tuliowasaidia na ukandamizwaji wanamwondoa balozi wao

    Kumbuka unapewa unacho toa. Mwarabu gani mstaarabu? Unyama wanaofanyia watu huko libya mbona hujaleta uzi kusema kukemee. Mwarabu Israel ndiyo kiboko yake. Waambie mtanyooka tuu. Tupige kura ya maoni uone wenye msimamo wako ni wangapi?
  2. N

    Wakati Tanzania tunapeleka balozi Israel, South Afrika tuliowasaidia na ukandamizwaji wanamwondoa balozi wao

    Hawa watoto wa mama mdogo wanajifanya wanasolidaruty lakini upuuzi tuu. Hatuendeshi nchi kwa mihemko. Mwarabu hajaki mweusi hata siku moja aweje agenda yetu? Tena magufuli peleka ubalozi qetu Jerusalemu mimi namshukuru Mungu kabla.
  3. N

    Wakati Rais Magufuli anasema "hela zipo" Tanzania yaiomba Benki ya Dunia kusaidia ujenzi wa SGR

    Aliye anzisha hoja ya 1.5 t kanyamaza unafikiri kwanini kajiona mjinga wewe endelea maana wewe ni ushuzi unwanted gas
  4. N

    Wakati Rais Magufuli anasema "hela zipo" Tanzania yaiomba Benki ya Dunia kusaidia ujenzi wa SGR

    80% ya watz wanaamini CHADOMO kweli kweli. Maandamano ya dada Prof. Dr yamebuma bado mna hope kweli ? Mnatia huruma sana
  5. N

    Wakati Rais Magufuli anasema "hela zipo" Tanzania yaiomba Benki ya Dunia kusaidia ujenzi wa SGR

    Rais alisema ya dar dodima ipo nani yetu lakini kufika kigoma itakopwa mbona mpo kama wanawake malaya mnataka kupotosha watu kila kitu jamani? Kwanini hamsomi alama za nyakati kuwa watu wamewagundua kuwa hamna jipya uzushi tuu
  6. N

    Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    What is that you see others cannot see?
  7. N

    Kushindikana kwa maandamano ya Mange kumeacha maswali gani?

    Wewe mtu anampango wa kumpindua rais aliyepo madarakani aliyechaguliwa unasema watu wanaminywa uliuliza watu wakakwambia hawamtaki rais aondoke madarakani ? Kwanini hamuoni mlipo potea katika jili sakata zima la maandamano? You were too ambitious kweli aondoke au tuwe na katiba mpya maana watu...
  8. N

    Kushindikana kwa maandamano ya Mange kumeacha maswali gani?

    Hayo hayakuwa maandamano yalikuwa mapinduzi take it. Hakuna anayetaka rais aondoke madarakani kenya aliachwa wewe upo hai au umekufa juzi juzi tu watu wamelishwa shaba kenya au ulikuwa kwenye chupa. Acheni uchiriku
  9. N

    Magufuli: Ndege ya saba imeongezwa

    Hivi hujangundua unadeal na wakenya watupu[emoji3]
  10. N

    Tathmini: Dhamira ya "maandamano ya Mange" imefanikiwa

    Sijui kama ujumbe ulikuwa unawakilishwa bila ya support ya watu na ikaonekana hiyo ni hali mutual kwa watanzania wote. Mtu anaweza kuwa hampendi rais akaamua kuandaa maandamano ya kuwasemea watu ambao wao hawakuonyesha kwa lolote kukubaliana na hilo. Mimi najua London kuna watz kibao siyo wale...
  11. N

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Huwezi kufurahiwa na wengi humu ndani maana hiyo ilikuwa kiki yao kuwa CNN and BBC watawatoa wa nje ya nchi wao wataandamana shame imeenda against their wish #lema#zitto huruma kweli
  12. N

    Dodoma: Mwanafunzi UDOM akamatwa na Jeshi la Polisi kwa kuhamasisha maandamano. Aponzwa na Mange Kimambi

    Kumbe huna hakika na unalopanga halafu unatuhamasisha maandamano. Chukua dawa ya panya kunywa ufe maana huna maisha ndiyo tatizo watoto wa tz baba yako hakukutunza nenda kwa makonda huna plans
Back
Top Bottom