Recent content by nkasoukumu

  1. nkasoukumu

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto; Nilishamwambia mwanangu baba yako ni yule yule ila alikukataa

    wakafanye DNA nje ya nchi south Africa au nchi za ulaya maana hapa Tanzania atapigwa yanayo endelea hapo kwa mkem.. tunayajua
  2. nkasoukumu

    JamiiForums Tanzania Mwijaku na Dotto Magari Watibuka; Wavutana Kuhusu Umiliki wa Nyumba na Kipimo cha VVU

    Aliye waiting hapo ukitaka kuonana naye kwa masuala ya msingi unaambiwa hana nafasi aibu kubwa kwa taifa
  3. nkasoukumu

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Malisa GJ adaiwa kutelekeza wanae watatu

    muulizeni Doreen na mana yake na ndugu zake Doreen baba yao mzazi aitwaye Alex wamempeleka wapi?
  4. nkasoukumu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii waanza kutia huruma baada ya Godbless Lema kushauri njia ya kudili na wote wasiosimama pamoja na wananchi, wadai wao siyo chanzo cha shida zao

    Kwa kuwa wanaweza kumuombea mgombea kura waungane kujiombea wasikilizaji wa muziki wao
  5. nkasoukumu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel iliwasaidia makaburu Africa kuua watu weusi?

    mzaliwa wa kwanza kivipi
  6. nkasoukumu

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore akikutana na Putin na akikutana na waafrika wenzie

    v viongozi wa Afrika ni wafanyakazi wa mashirika ya Kijasusi ya magharibi hawapaswi kuaminika
  7. nkasoukumu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gen Z watawanyika katika Makanisa mbalimbali kuzuia Harambee za Wanasiasa kesho, Padre wa Rais Ruto aonywa!

    Kanisa halijawahi kutueleza ni lini lilibadili lengo lake lililolifanya kuja Africa (lile lengo tulilofundishwa kwenye historia) kwa hiyo ni sahihi vijana wakizuia kanisa kupokea rushwa ya hadharani (kutoka kwa wanasiasa (almaarufu sadaka) Kanisa ni chawa wa wanasiasa na kuwadi wa ukoloni mambo...
  8. nkasoukumu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mabomba ya maji kutoa maji ya tope

    Sio kilio timizeni wajibu wenu tunalipa bili
  9. nkasoukumu

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Hiyo sio Imani yetu ni ya wazungu wanyonyaji
  10. nkasoukumu

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Wewe ni mnjanja saaana ongeza idadi
  11. nkasoukumu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kijana fanya juu chini hakikisha una check number

    Kwani wanalipwa bei gani kwa mwezi mpaka wakae kusubiri ajira,
Back
Top Bottom