Recent content by nkandereni

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

    Habari wadau Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu. Mimi ni: Mwanamke umri 33-35 Mkristo Elimu ya chuo Mfanyakazi Mcha Mungu focused loving and caring mkaka awe: umri 33-38 Mkristo Awe na hofu ya Mungu Anayejishughulisha kutafuta kipato Elimu angalau...
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mke

    DOH ngoja na me nianze gym maana wachumba wanataka vimodo
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

    hahah umenikumbusha mbali...i miss u like crayz
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    MAPENZI siyo kitu cha muhimu kwangu, nina mambo muhimu zaidi hicho ni kitu cha mwisho kwangu so uninichoshe, nisikuchoshe.....siwezi sahau iliniumiza sana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

    Dunia ina mambo mengi sana ila mwisho wa siku Mungu ndo hakimu wa yote
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania im confused.....nisaidieni wadau

    habari za ijumaa wadau..........nina janga linanisumbua naomba mnisadie kwa ushauri plz......ni kwamba nina mahusiano na kaka mmoja na uhusiano haujafika mwaka, ni mtu ambaye tulipendana sana na daima nilikuwa nina furahia kuwa nae naye......siku za hivi karibuni amebadilika sana na nikimuuliza...
Back
Top Bottom