Recent content by Nkana Young46

  1. N

    JamiiForums Tanzania Samsung original

    Habari wanaJF, kama kichwa kinavyojieleza; kutokana na mijadala mbalimbali juu ya samsung original na copy je ni njia ipi itumike kuangalia kama simu ni copy au original kwa simu za samsung. Kwenu wanaJF
  2. N

    JamiiForums Tanzania Samsung kutoka Vietnam ni original au Copy?

    Ninaavyojua mimi samsung zinatengenezwa zikiwa na matoleo tofauti-tofauti mfano kuna galaxy s22 canada, galaxy s22 south corea, galaxy s22 china na nyinginezo.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

    Hakuna madhara yeyote mkuu, mimi nilihitimu form VI 2020 na sikwenda jkt. Chuo nilijiunga [UDSM) na mkopo niliapply pasipo kuombwa cheti cha jkt
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

    Wakuu naomba mnisaidie mawasiliano ya simu ya muuzaji wa mitumba ya nguo za kike Dar. Naomba mnitumie JF inbox au normal sms 0624573133
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chimbo la mitumba

    Anayejua chimbo la mitumba la nguo za kike anisaidie namba za simu za muuzaji wa hiyo mitumba. Please naomba nitumiwe hiyo namba inbox JF au kwa normal sms kupitia 0624573133
  6. N

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Salamu ndugu wanajukwaa, hebu mnisaidie, ni wapi naweza nikapata chimbo la mitumba la nguo za kike hapa dar. Nia yangu nahitaji ninyi kama wanajukwaa mniunganishe direct na huyo muuzaji, hivyo ni vizuri zaidi kama ningepata namba ya sim ya huyo muuzaji au nikaungwa hata kwa wasap group za hayo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

    Mi nadhani kwa sisi waafrica tule ugali kwanza na matunda tushushie kama kinywaji ila habari ya kula matunda tu tuwaachie wazungu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Soma na uelewe

    Fantastic message
  9. N

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kibegi unavyopukutisha vijana mikoa ya Kusini

    Kwa muktadha huo sasa vibegi ni hatari kutembea navyo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wale wasioamini ushirikina, naombeni mnipe sababu za kisayansi kwenye mkasa huu

    Huo ni ushirikina usiofichika kwani hakuna sayansi ya kumridisha mtu aliyefariki na kuwa hai
Back
Top Bottom