Watu kwa majungu bwana. Huyu naona aliitaka hiyo DFP akaikosa. Acha fitina hizo kama fungu LA kukosa subiri sizonje amalize muda.KijanaErick chapa kazi fuata kanuni na miongozo. Wale wanafiki wapige chini kwa kufuata sheria kanuni na taratibu
Wanajamvi pamoja na tamko zuri lililotolewa bungeni hususani kuwarudisha kazini watumishi darasa LA saba. Watumishi hao bado wanahaha hasa wale wa mashirika ya umma. Maafisa utumishi wakidai eti hawafanyi kazi kwa matamko wanahitaji waraka. Ombi waziri mwenye dhamana Mzee wetu mwalimu Mkuchika...
Pia ATCL wapunguze gharama za uendeshaji kwa kutumia mawakala badala ya kuwa na ofisi kila waendako. Hakuna haja yakuwa na watumishi wengi kwenye kila ofisi
Nia ya kuleta Uzi huu sio kubeza ATCL kwa vile sisi ni wazalendo tunaeleza ukweli ili kujitathmini. Kama tutafufua ndege ile iliyopo hangani tutaweza kupambana na ushindani.
Tarehe 10 Machi 2018 nimesafiri toka Dsm mpaka Kilimanjaro. Safari ilitakiwa ianze SAA 11:40 lakini tukaondoka SAA sita na robo usiku. Kisa ni kupata hitilafu ya kiufundi huko mwanza.
Kabla ya Bomberdier tulikuwa na cs 300 ndege iliyoweza kufanyakazi katika kipindi chote.
Lakini baada ya...
Kero hii imezidi TBL Arusha wanaegesha malori ya kubeba bia mpaka malori yanafunga barabara na ukiwaeleza wanajibu hayapo katika eneo lao.
Tunaomba Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani watusaidie na TANROADS pia wawatafutie sehemu waegeshe magari ili yaje kwa kuitwa. Inakera sana
Wanajamvi waliosoma Likonde Seminary Miaka ya 80 na Tisini wapenda kuwaarifu mwenzetu Alphonse Nchimbi amefariki dunia jana. Taratibu za kusafirisha zinafanika kivule tayari kwenda wilaya ya Nyasa Ruvuma kwa Mazishi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. Amen
Sent using Jamii...
Soko LA SIDO Mbeya lililopo eneo LA Mwanjelwa lateketea kwa moto usiku huu. Mwenye taarifa zaidi na picha atujuze tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kwamba walipeleka vyeti makao makuu VETA lakini havikwenda Baraza. Kachambue taarifa za matokeo kama hiyo taasisi IPO.
VETA mkubali kujipanga kwenda na wakati ili muoneshe tija na sio kusifia mafunzo ambayo vijana wanarudi huku mtaani wakijua nadharia tu na tunaanza kuwafundisha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.