Shukrani sana mkuu,, yaani nilikuwa najiuliza maswali Rwanda inatafuta nini kwenye nchi ya watu??, Kumbe ni Mzee Kabila alifanya makosa makubwa ambayo hakutegemea kuwa yataigharimu nchi hv na yataendelea kuigharimu.
Hapo sasa Kongo kutulia ni ndoto maana ndani ya serikali hata sehemu nyeti...
Namtafuta rafiki yangu wa utotoni tulianza shule pamoja mwaka 1998 shule ya msingi LUGOMBO Mwakaleli anaitwa GWALUGANO MWAKIPOSA popote alipo au unayemfahamu please naomba nijulishe.
Habarini ndugu!
Samahani naomba mnisaidie; mdogo angu ameajiriwa na tasisi fulani ya serikali huko Shinyanga, ila kinachonishangaza kwenye kada zingine wameishaitwa kazini ila kwenye kada yao waliajiriwa wawili yeye na mwenzake wenyewe mpaka saizi hawajaitwa, ni kama wiki tatu zimepita toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.