Recent content by NJIRO ONE

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kinana yupo Moshi Mjini kwa ziara ya Kichama

    naona mmeweka hapo standi maana wapo wale ambao mliwanyima ajira kibao so many jobless tena wana hasira na nyie mbaya mtakoma hiyo ndo moshi baba jaribu pengine....
  2. N

    JamiiForums Tanzania Lema, makamba na chikawe waonyesha utovu wa nidhamu bungeni

    KIONGOZI najua tatizo ni lema unataka kujiosha kupitia yy hao wengine uliotaja ni geresha tuu. tafuta ----- mwingine hiyo santuri unayocheza haichezeki :tape2:
  3. N

    JamiiForums Tanzania Live updates: Uzinduzi rasmi wa ACT-wazalendo - Diamond Jubilee Hall

    kwani kutangaza mali ndo kuonyesha mtu flani ni mzalendo mwambie aonyeshe na alivyopata hizo mali. na ni vigumu sana kuzungumza ujamaa kwa sasa tanzania na watanzania wakakuelewa. ni ngumu huwezi kuniambia nachomiliki nigawe kwa wengine la mda zito pekee yake ndo ataweza hili. maana nataka...
  4. N

  5. N

    JamiiForums Tanzania Upya wa chama kipya ACT-Tanzania

    shida tupu wanatunga katiba za kuwakinda kwenye nafasi zao. ngoja tusubiri mda kidogo tuone yatakayoendelea hizo tunaziita nguvu za soda tuu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Live updates: Uzinduzi rasmi wa ACT-wazalendo - Diamond Jubilee Hall

    mwl. kaijage hii ni live updates au ni latest updates maana tangu asubuhi live update halafu hamna chochote ulichokiaupdate hapo. au mpaka sasa hamna kilichoendelea cha kutoa updates au hako kamchina kanakuzingua??
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msigwa kukamatwa baada ya sherehe ya mwenge

    post uliyoweka haifanani na jina lako naona imekaa kilumumba zaidi kachukue buku saba zako haraka na aspokamatwa ni mwisho leo kuamini post zako maana ni za uongo. be reasonable usitumie ma------ kufikiria tumia ubongo wako vizuri:faint2::faint2::faint2::A S 39::A S 39::A S 39:
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka nyololo,mafinga hadi iringa mjini twanguruma kwa kishindo

    Pamoja sana makamanda tuko pamoja
  9. N

    JamiiForums Tanzania Polisi: Upelelezi wa Lwakatare umekamilika

    watashindana lakini hawatashinda lzm siku ya mwisho tumwaibishe shetani kwani tulianza na mungu tutamaliza na mungu. Hayo magamba ikiwezekana 2014 yasifike kabisa hayawezi kushindana na nguvu ya mungu kamwe kwa hila za kifisadi na kigaidi.
Back
Top Bottom