Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Mosi,kuna nafasi nyeti ya Kiongozi Mkuu wa chama ambaye ndiye mwenye nguvu kubwa chamani humo. Na tayari amepatikana jana-Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe. Nafasi hii ya uongozi haipo chama chochote cha siasa hapa nchini.
Pili,kuwepo Mwenyekiti ambaye si lolote ndani ya chama. Yeye atafuata maelekezo ya Kiongozi Mkuu wa chama.
Tatu,ACT ina Mwenyekiti mwanamke. Hakuna Mwenyekiti mwanamke katika chama cha siasa chochote kingine.
Nne,mhamiaji amegombea pekeyake na kupata nafasi ya Kiongozi Mkuu wa Chama.
Tano,ACT inaamini kwenye Unyerere lakini inaishi kwenye usasa.