Recent content by Njilembera

  1. Njilembera

    Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

    SIRI???? Yaani uozo huu! Ukatili- unatamani ufichwe!? Mtu wa ajabu sana wewe. Ukitaka nchi yako iheshimiwe, jambo la kwanza ni kujiheshimu wewe na watu wako! Utu kwanza. Unakuwa kama wale wazazi wanaowaficha watoto wao vilema majumbani kwa kuona aibu wanawaacha wanateseka weeeee bila msaada!
  2. Njilembera

    Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

    Mhhhhh! Unawezaje kufanya majumuisho ya namna hii! Kwamba wakatoliki walikuwa wanafaulu mitihani kwa wizi wa mitihani!? Acha hizo Bwana. Ni shule gani ulisoma, ukaona hayo yanatendeka? Kufaulu sio kushinda masaa 24 unasoma. Kufaulu ni tunda la nidhamu na afya njema. Nidhamu ya kusoma kwa masaa...
  3. Njilembera

    Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

    Ingekuwa ni Kenya, kesi hii ongekuwa live kwa radio na television. Ila kwa Bongo!!!!
  4. Njilembera

    Spika Ndugai: Gwajima akirudia tutamuita Waziri wa Mambo ya Ndani na kumhoji

    Kwamba Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo ndio inasajili makundi mbalimbali, iangalie kama kanisa la Askofu Gwajima linatekeleza majukumu yake kwa kadri ya masharti ya usajili! Yaani- kuna uwezekano wa kulifungia kanisa kama alivyofanya Kagame kule Rwanda! Musiki Mtamu, tusubiri! Na Gwajima amejibu...
  5. Njilembera

    Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

    It could well be that they sought consent of Mulamula!!
  6. Njilembera

    Magufuli alikuwa muongo sana

    Duh! Sasa na wakati mwingine uache tu kumchambua Marehemu! Huu uchambuzi fikirisha sana- umefanya kazi nzuri,ila mwache apumzike popote alipo! Imetosha!
  7. Njilembera

    TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

    Kweli ni habari mbaya! Duh! Ni kweli lakini? Oh my Lord, the gold is gone! What a big loss to the Politics of URT! RIP Prof Baregu!
  8. Njilembera

    Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

    Inasikitisha kujadili mambo mazito ukiwa na taarifa hafifu. Waziri Msuya alikuwa mbunge wa Mwanga, ni mji mdogo kando ya barabara kubwa ya kutoka Dar kwenda Arusha, SIO mlimani pili swala la umeme sio jambo la kushangaa kwa eneo hili, bwawa la Mungu liko karibu na kituo kikubwa cha kuzalisha...
  9. Njilembera

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    CV yake haitoshi kuwa Mkuu wa Wilaya huyu! Ndio maana alivurunda sana! Hakustahili kabisa!
  10. Njilembera

    Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    John the Baptist ni wale wale- anatetea bila utafiti! Hajafikiwa na mikasa kama hii! TRA wakitaka na wanataka kupiga hela, wanamtafuta mmiliki wa kampuni (Managing/Executive Director) na hawataki Auditors/Accountants, wanakuita kwenda kwenye majadiliano- kabla ya majadiliano watakutumia taarifa...
  11. Njilembera

    Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

    Hizi za ibadani zilikuwa ni za unafiki tena za kiubaguzi! Tena sina uhakika sana kama Asalam Aleykumu ni kwa imani ya Uislamu na ina maana sawa na hizo za wakristo. Ni unafiki kwa Mwislamu kwa mfano kuwasalimu ' Tumsifu Yesu Kristu' au kwa Mkristo 'Asalam Aleykumu! Ni ubaguzi kwa zile dini...
  12. Njilembera

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Idadi ya watu duniani ni karibu ya watu Billion 8 (7.9bn)- kwa takwimu hizi nusu ya dunia walikuwa wanafuatilia! Sio rahisi. Youtube wana viewers wasiofikia 2.5bn duniani. Nadhani statistics sio kwa Bilioni bali kwa Milioni- ambapo bado ni wengi yaani viewers 3.9m ni wengi sana- possible pia...
Back
Top Bottom